witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mkuu....Woods fuba analo coz yule Elin waligawana 50/50 tena mwaka 2010 hukoo, na isingekuwa ile divorce jamaa angechezea 1b kwa mwaka huo huo 2010 sasa sasa hivi angekuwa na ngapi? ...anajitahidi kurudi rank yake ila bado, unaijua sababu?.... Jamaa ni mlevi balaa, anakula unga na gambe, anabet, anashinda kwa strippers kwa kwenda mbele sasa ataconcentrate vipi na rehearsal?....yaan Sheriffs za Florida zimemgeuza deal, coz wanajua tu wakimsimamisha jamaa yuko bwii kwahiyo fines na jail vitamhusu!Though ile divorce ilimchanganya kiaina lkn Woods hayuko choka kihiivyo mkuu.
Kwenye Golf ranking ni wa 13 duniani,net worth anachezea kwny $740million.
Na ijumaa ya leo atacheza mechi na Phil Mickelson na mshindi atachukua $9mil.
Kampuni kibao zimemmwaga zenye mshiko wa maana, GM, AT&T na Gillette maana zinaona jamaa habadiliki na kuendeleza sponsorship kwake ni kula hasara tu!....kati ya zote General Motors inamuumiza woods maana alikuwa anapata kisu kikali pale!... Nike nao watamchoka tuu asipoacha unga!