Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Though ile divorce ilimchanganya kiaina lkn Woods hayuko choka kihiivyo mkuu.

Kwenye Golf ranking ni wa 13 duniani,net worth anachezea kwny $740million.

Na ijumaa ya leo atacheza mechi na Phil Mickelson na mshindi atachukua $9mil.
Mkuu....Woods fuba analo coz yule Elin waligawana 50/50 tena mwaka 2010 hukoo, na isingekuwa ile divorce jamaa angechezea 1b kwa mwaka huo huo 2010 sasa sasa hivi angekuwa na ngapi? ...anajitahidi kurudi rank yake ila bado, unaijua sababu?.... Jamaa ni mlevi balaa, anakula unga na gambe, anabet, anashinda kwa strippers kwa kwenda mbele sasa ataconcentrate vipi na rehearsal?....yaan Sheriffs za Florida zimemgeuza deal, coz wanajua tu wakimsimamisha jamaa yuko bwii kwahiyo fines na jail vitamhusu!

Kampuni kibao zimemmwaga zenye mshiko wa maana, GM, AT&T na Gillette maana zinaona jamaa habadiliki na kuendeleza sponsorship kwake ni kula hasara tu!....kati ya zote General Motors inamuumiza woods maana alikuwa anapata kisu kikali pale!... Nike nao watamchoka tuu asipoacha unga!
 
Hivi Woods hakufanya Pre-nuptial agreement kabla ya kumchukua mazima yule Msweedish?!
Cos wenye hela ndefu vile wanaanzaga kuangalia Usalama wa pesa in case of anything.
Makubaliano kwanza muhimu, nani atapata nini kama ndoa inakufa..
Hakufanya Pre- nuptial, nahisi Woods alibase kuangalia kwamba, kwa kuwa Elin ni mtoto wa kigogo hawezi kumsumbua mbele kama kajamba nani wa Hollywood
 
Naona hakufanya hivyo mana mana akichukua nusu plus kila mwezi atoe matumizi ya familia,maisha ya diddy ni sawa kabisa anajua hilo kua zingemshusha kiuchumi.
Angalia russel simmmons nae mkewe alichukua nusu leo hii jamaa anaumwa ugonjwa wa moyo
Kimora Lee kamfanyiaga vibaya Russell masikini daah! Kumbe yule mzee mgonjwa? Ndo maana afya yake huwa siielewi....Hawa Hollywood celebs nao njaa sana!...wakipata ndoa wanaigeuza deal, usikutwe unacheat umeishaa!

Sasa Diddy kashtukaga ukimcheki KP njaa tu, Cassie nae diddy ndo amlishe amnyweshe njaa tu hakuna ndoa, wale babies mama wake wakina Misa ndo kabisa hathubutuuu!.... Ni mgegedo, pesa kidogo ya matumizi laleni mbele!
 
Hivi Kimora nae aliondoka na nusu ya mali za Simmons?!, no wonder she's a Diva*2
Halafu ndo akaenda kuolewa na yule M West Africa..

Kwa ndoa za celebrities, pre-nuptials muhimu sana. Maana leo ipo, kesho haipo.
Naona hili la Wealth Settlement ndo linachelewesha pia divorce ya Brad Pitt na Angelina.
Hivi Brad Pitt na Angie vip nao?

Ila safi karma is a bitch...Brad alichomfanyia Jennifer, nadhani Jen anachekaga hiiiiii[emoji28]
 
Russel alipata shida ya moyo,nw yuko 60yrz baada ya kuachana mwanamama kimora alienda kuzaa sijui na njemba gani akapata mtoto mwingine
Kimora Lee kamfanyiaga vibaya Russell masikini daah! Kumbe yule mzee mgonjwa? Ndo maana afya yake huwa siielewi....Hawa Hollywood celebs nao njaa sana!...wakipata ndoa wanaigeuza deal, usikutwe unacheat umeishaa!

Sasa Diddy kashtukaga ukimcheki KP njaa tu, Cassie nae diddy ndo amlishe amnyweshe njaa tu hakuna ndoa, wale babies mama wake wakina Misa ndo kabisa hathubutuuu!.... Ni mgegedo, pesa kidogo ya matumizi laleni mbele!
 
Ok yule jamaa mwenye pua kubwa ndio kazaa na kimora?kwenye blood diamond alikua anaitafuta familia yake akaja kumpata mwanae wa kiume
Maskini[emoji22] .....huyo njemba ni mbenin Djimon Hounsou aliigizaga na Leo Di Caprio movie ya Blood diamond
 
Ok yule jamaa mwenye pua kubwa ndio kazaa na kimora?kwenye blood diamond alikua anaitafuta familia yake akaja kumpata mwanae wa kiume
Yes...huyo huyo kwenye movie anaitwa Solomon Vandy

Hata nae hawako wote na Kimora wameshamwagana kitambo!
 
Aliondoka na mali na cash,ndio mana matajiri wenge wanaishi na watoto tu angalia hata trump

Halafu Trump inaonekana alijipanga vizuri na ndoa zake. Wale wake zake wa kwanza na wa pili hawaku pata cha nusu wala robo ya mali zake. Yule wa pili ndo kabisa, sidhani kama settlement yake ilifika $30 Mil.
 
Ndio dawa yao mana wakipata nafasi wanakupukutisha balaa,nkimuangalia tigerwoods,russel simmons nawaonea huruma mtu amekukuta uko safi anakurudisha nyuma 50% plus stress tupu
 
Kimora Lee kamfanyiaga vibaya Russell masikini daah! Kumbe yule mzee mgonjwa? Ndo maana afya yake huwa siielewi....Hawa Hollywood celebs nao njaa sana!...wakipata ndoa wanaigeuza deal, usikutwe unacheat umeishaa!

Sasa Diddy kashtukaga ukimcheki KP njaa tu, Cassie nae diddy ndo amlishe amnyweshe njaa tu hakuna ndoa, wale babies mama wake wakina Misa ndo kabisa hathubutuuu!.... Ni mgegedo, pesa kidogo ya matumizi laleni mbele!
Yes...huyo huyo kwenye movie anaitwa Solomon Vandy
Hata nae hawako wote na Kimora wameshamwagana kitambo!

Hivi walishamwagana?!, lakini kukaa na Kimora yataka moyo..
You can tell she always wear big pants in a relationship. Sasa yule mu west..

Hata reality show yake haiku last. I bet producers walibwaga manyanga! 😀
 
Ndio dawa yao mana wakipata nafasi wanakupukutisha balaa,nkimuangalia tigerwoods,russel simmons nawaonea huruma mtu amekukuta uko safi anakurudisha nyuma 50% plus stress tupu

Na wanazichota haswa sio mchezo. Imagine mtu anatoka middle class anaenda kuwa one of the richest people, just overnight.
 
Ndio hivyo heri kama ulianza nae ukiwa huna ukapata ukiwa nae,kama smith jada alifuata pesa mana alimkuta tajiri
Na wanazichota haswa sio mchezo. Imagine mtu anatoka middle class anaenda kuwa one of the richest people, just overnight.
 
Hivi Brad Pitt na Angie vip nao?
Ila safi karma is a bitch...Brad alichomfanyia Jennifer, nadhani Jen anachekaga hiiiiii[emoji28]

Hahah!, yaani J. Aniston naona ali pop Champagne baada ya Brangelina kuvunjika...lol

Divorce yao bado. Their lawyers are still working on it.
Word on the street...kuna dough ya about $400 million inatakiwa kugawanywa kati yao..
 
Back
Top Bottom