Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Kabla sijaoa manzi angu alishawahi nituhum uongo mbaya sana,ikaniuma kweli sasa katika vikao vya usuluhushi uvumilivu ukanishinda nikamuuliza " mbona unanipa tuhuma za uongo namna hii wakat mimi ninakuvumilia kwenye mengi. Wewe ni mchafu sana, tena ni mwanamke mvivu, hapa tunapoongea, ndani kuna vyombo havijaonshwa karibu week, na kingine una tabia inanipa mashaka sana ya kuweweseka usiku ukiwa unaota, au ni kwasababu ya hizo chale mwilini? Na hujawah kunipa jibu la maana mtoto wa kikriatu tena mlokole, hizo chale mwilini umezitoa wapi??".

Aahhhhhh yule manzi hakuwahi hata kutaka kunisikiliza nimuombe msamaha tena!!!!😂😂😂😂😂😂.

Yangu yalimchoma, ila yake aliona mimi kama hayaniumi na ukizingaria keai ilishafika mbali mpaka kusikilizwa na third parties 😆😆
 
Hahaha oyaaaa ilo ni lijini man kimbiaa mwendo wa kasongoooo
 
me dem kuniomba pesa huwa naamini ni tabia yake hafwai kuwa karibu yangu, ananiona kama kitega uchumi chake
 
Shida yao ukienda kwenye usuluhishi anaropoka kila kitu akijua atakumaliza,sisi wanaume kuna mengine unaona aibu unafunika,sasa ikitokea kakukera ndio pale unamwaga uozo wake wote anabakia katoa macho...
 
Hiyo ya kwanza kuna sister yangu mmoja inamuangusha sana sana alafu age go aisee namuonea huruma
Nyingine jamaa unajuaa kuandika na kupangilia maneno we jamaa mwalimu nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kidin
 
Hiko tu ndio ukafanya umblock?. Wanaume bado mna safari ndefu sana.
 
Gangster
 
Basi jua tulishakutana tukatom.bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…