Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Kabla sijaoa manzi angu alishawahi nituhum uongo mbaya sana,ikaniuma kweli sasa katika vikao vya usuluhushi uvumilivu ukanishinda nikamuuliza " mbona unanipa tuhuma za uongo namna hii wakat mimi ninakuvumilia kwenye mengi. Wewe ni mchafu sana, tena ni mwanamke mvivu, hapa tunapoongea, ndani kuna vyombo havijaonshwa karibu week, na kingine una tabia inanipa mashaka sana ya kuweweseka usiku ukiwa unaota, au ni kwasababu ya hizo chale mwilini? Na hujawah kunipa jibu la maana mtoto wa kikriatu tena mlokole, hizo chale mwilini umezitoa wapi??".
Aahhhhhh yule manzi hakuwahi hata kutaka kunisikiliza nimuombe msamaha tena!!!!😂😂😂😂😂😂.
Yangu yalimchoma, ila yake aliona mimi kama hayaniumi na ukizingaria keai ilishafika mbali mpaka kusikilizwa na third parties 😆😆