Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Binti wa kwanza alishinda kupika dagaa vizuri , nilijua kwa huyu nitakufa na njaa au nitakula chakula sio kitamu
Binti wa pili. Nilimpatia laki moja , bila ya kumuelekeza matumizi , nilivokuja kumuuliza ameitumiaje? Vyote alivyonunua havikua vya msingi kwa upande wangu hata kwake pia niliona hili ni dish litaharibu mambo mengi mbeleni
 
Ulijuaje mkuu zerominus10 ulikuta message kwenye simu yake au?
Hayo ni mambo kiintelijensia zaidi ila tu niseme alijisahau nikahamisha mafaili ya simu yake yote kwenye laptop yangu nilipoanza ukaguzi wangu wa kijasusi nikafuma voice notes kadhaa hapo ndipo nilipomaliza mchezo spy next door, don't try this at home km una moyo wa kuku utaua mtu maana unamdaka red handed

 
Niliamua kumtoa out huko sehemu za starehe tule tunywe na kulala hoteli kubwa .
Tukiwa pale akaingia bwana mmoja ana kakitambi ka kiasi hakijafika kwangu si demu anadai simpendi mwanamume mwenye tumbo tumbo Kama huyo baba .

Anaongea huo ujinga wake ilihali na Mimi namiliki tumbo kubwa kuliko hata huyo bwana ,Basi nikajua hapa sipendwi ,ikawa njia ya kukaacha ka sharifa
 
1-- Alikua analazimisha sana aache vitu vyake geto, akija na kichupi akikifua anakiacha geto, mara aje atake kuvaa na kuondoka na t shirt zangu, huyu huyu alikua analazimisha kutokutumia kinga , ukimuuliza vipi kuhusu mimba, anasema yupo tayari kwa lolote, . nikasema huyu anatafuta pakufia uyu.

2-- Mtu wa starehe sana, club na bar za live bendi, mara 4 aliwahi niambua twende wote nikamchomolea mm sio mtu za izo mambo kabisa, last time aliniambie twende nikagoma, akasema anaenda na rafiki zake, nikasema sawa, asubuh ananipigia simu ananiuliza upo wapi nikamwambia nipo natoka town, Posta to Mkolani wale wa mwanza wanajua ilo route ananiambia nmechoka sana nmeshindwa hata kuamka em pitia chips na matunda umipitishie aiseee nilitukana tusi moja, Kumanyoko wewe, nikaablock kabs maana kama ni demu la club lingenimiminia matusi sana, 😀. Fala ilo demu
 
Utainunua kwa bei ya ndoa
Umenikumbusha mjomba wangu ambaye alikuwa na mchumba wake. Mchumba kila siku anadai bado silidi. Mjomba akawa anamwamini wakati siye tunajua kuna watu wanakula. Ilikuwa kama dhambi ukimweleza kuwa asitegemee kukuta ni silidi. Siku aliyofunga ndoa alikuta hola. Na ndiyo ilikuwa mwisho wa mapenzi yao. Kitu hicho kilimsumbua mjomba na alifariki kwa ajali
 
Umenikumbusha mjomba wangu ambaye alikuwa na mchumba wake. Mchumba kila siku anadai bado silidi. Mjomba akawa anamwamini wakati siye tunajua kuna watu wanakula. Ilikuwa kama dhambi ukimweleza kuwa asitegemee kukuta ni silidi. Siku aliyofunga ndoa alikuta hola. Na ndiyo ilikuwa mwisho wa mapenzi yao. Kitu hicho kilimsumbua mjomba na alifariki kwa ajali
Hahaha Mimi iniue k-uma aah kumamakesiomimi siwezi kufa kisa k-uma hio ni stage ya awalikabisa ya ujana
 
Nilikutana nae chuo, olevel na Alevel alisoma girls tupu. Nikaja gundua anafanya mapenzi na mtu wa jinsia kama yake(ke) akati show zangu ni za kibabe. Ukizingatia kiroho naamini ni dhambi isiyosameheka nilimuacha kwa sababu zingine tofauti.
 
1st, alikuwa anapenda sana starehe na tulikutana club nikataka mbadilisha nikashindwa siku nampiga chini (bila yeye kufahamu) aliniomba twende viwanja usiku nikamwambia sijiskii kutoka akasema basi nimruhusu aende na marafiki zake alafu atarudi na kweli nikamruhusu akaenda akarudi saa 10 alfajiri. Nikasema huyu nitakuwa napiga mpaka nikimchoka nampiga chini uzuri wake ni janga.

2nd, nilimpenda mno ila tatizo uchafu yani hakuna kitu nachukia kwa mtu kama uchafu. Huyu demu ni amesimama hatari alafu wa kishua mno ila ananuka kwapa na hataki mambo ya deodorant wala perfume. Nilimnunulia perfume ya laki 3 akaenda kugawa anasema hapendi perfume na ata akioga bado ananuka jasho kali yani kuna muda anakuwa na nywele za kwapa zimechachamaa ni nyekundu alafu hajali wala nini so nikampiga chini ila mpaka leo hajui shida nini mimi nilimpa sababu za uongo na kweli.
3rd, umalaya nilikuja kumjua baadae sana kuwa ni malaya wa level kubwa baada ya kunipa nyuma na nikambana alianzaje akanipa full mkanda yani ni mzoefu kumbe siku zote namgusagusa tu mpaka agongwe nyuma ndio anarizika. Baada ya hapo nikawa namdanganya nimesafiri nimepata msiba mpaka leo akajiongeza tu nimeachwa.
4th, huyu alikuwa single maza nilitaka kujilipua ila vitu viwili vilinikatisha tamaa moja tukigombana anampost status mtoto wake ananipiga vijembe kupitia mtoto wake nikaona in the future huyu mtoto atakuwa ndio silaha ya kunimaliza pili ni kama nilizinduka usingizi why naoa mtu mwenye mtoto kwa nn nisianze afresh yan nakosa nn mpaka nikabebe mizigo ya watu
Safi sana Mkuu
 
Back
Top Bottom