sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
Kwenye maswali Yao huwa Kuna ujumbe mzito..kuwa makiniHapo Kosa lake lilikua nini chief?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye maswali Yao huwa Kuna ujumbe mzito..kuwa makiniHapo Kosa lake lilikua nini chief?
Kwenye kikao Cha wanaume, Tumepitisha Bikra ndio ataolewa.Hawa madem saiv ni washenz sana
Ahsante mkuuMungu Aendelee Kuwabariki..
Muwe na Mwisho Mwema.
It is not how you start,
it's how you finish....
UbinafsiHapo Kosa lake lilikua nini chief?
Mambo yalinigomea kwa muda mrefuUnafuliaje hadi unakosa msosi ndani afsa?
Hatari sanaAlikua haogi.
Aisee pole sana afsa.ni maisha tu,hope ushakaa sawa now?Mambo yalinigomea kwa muda mrefu
Hapana sichati yani ni mwanaume ambae ana insecurityKwahio we unavyochati na maboya wengine akikuuliza unasema ana wivu wa kijinga🤣! Hizi ni signs za kutokupendwa live!!!!
Asa mtu asiseme ya moyoni😅😅😅😅Niliamua kumtoa out huko sehemu za starehe tule tunywe na kulala hoteli kubwa .
Tukiwa pale akaingia bwana mmoja ana kakitambi ka kiasi hakijafika kwangu si demu anadai simpendi mwanamume mwenye tumbo tumbo Kama huyo baba .
Anaongea huo ujinga wake ilihali na Mimi namiliki tumbo kubwa kuliko hata huyo bwana ,Basi nikajua hapa sipendwi ,ikawa njia ya kukaacha ka sharifa
Ya moyoni ayaseme kwa mafumbo ? Hapana kale kadada kalijua kunidharauAsa mtu asiseme ya moyoni😅😅😅😅
Basi itakuwa we ni pisikali haswaa😄 hajawahi miliki pisi ndio maana anahisi utaibiwa mda wowote.Hapana sichati yani ni mwanaume ambae ana insecurity
Haamini kama naweza kutulia nae hana imani tu bila sababu za msingi
Hamna kawaida sana labda uzuri upo machoni pake😅Basi itakuwa we ni pisikali haswaa😄 hajawahi miliki pisi ndio maana anahisi utaibiwa mda wowote.
Ukaona ni mbinafsi 🤣Nilipeleka mkono kwenye K yake akaniambia embu ACHA kuchezew mali zangu!! Nikasema hakuna mkitu apa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaAlikua ana beti mpaka ligi ya China na anampiga muhindi kila akibeti,na wachezaji wa ligi ya China anawajua kwa majina.
Kwenda kulala kwa ex wake akisingizia eti kafiwa anakwenda kulala matanga huko na kumfarijiHabari za weekend!
Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu.
Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu mwingine si tutakuwa tunakutana kisirisiri tunafanya mambo yetu?"
Kwa harakaharaka nikamjibu nikamjibu "ndio", ila ile kitu haikukaa vizuri kichwani mwangu, nilimwona kama mtu mwenye roho ya usaliti, kama anaweza kumfanyia mume wake hivyo si anaweza hata kunifanyia mimi.
Siku nyingine huyohuyo mwanamke akanambia maneno haya "Mimi sijali kuhusu matatizo yako, wewe ni mwanaume, wewe ndio inabidi ujali kuhusu matatizo yangu", baada ya hapo nikiwa simchukulii serious kabisa, wala sikutegemea mahusiano yetu yafike stage za kuoana.
Mwingine bhana alikuwa akiniomba hela afanye biashara, kuna siku alinieleza vizuri kabisa kuhusu hio biashara nikaipenda, nikamuahidi ntampa hela aanze, ilikuwa ni 1.5M.
Hio hela nilimpa kama baada ya wiki moja hivi, siku zilizofata nikawa nafatilia maendeleo yake na amefikia wapi, akawa tu ananiambia anasubiri vibali na issue zingine, mimi ilifika kipindi nikapotezea, kuna siku sasa mama ake akanipigia, ndio akaniambia kila kitu, ile hela bhana aliitumia kununua nguo, viatu, vipodozi, kabati la nguo na vikorokoro vingine,
Halafu ukizingatia sio mtu ambaye alikuwa hana nguo au anavaa vibaya, lahasha, hii kitu ilinifanya nipoteze interest kabisa na huyu mwanamke, nikawa namuona sio wife material kabisa, nilivoongea nae akasema sijui mambo hayakukaa sawa sijui kuna hela alizulumiwa, sababu kibao alitoa, nilimshangaa sana, hadi leo nikikumbuka nabaki nacheka tu.