Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Sijawah kuwa na ndoa ya 18yrs, maana kwa umri nilionao unataka kusema nilioa at 17yrs
Whatever the case ila ulikuwa unamsifia sana mkeo sijui ni fundi, mpole mna chemistry etc hadi nikakuonea wivu kumbe unapigwa na vitu vizito humo ndani na husemi 🤣🤣🤣🤣

Kivyovyote vile ile comment ilionyesha kuwa umeoa na unaishi na mke kwa muda mrefu sana

au ulikuwa unadanganya?

Sema hapana ni ukweli bana mkeo anakutesa sana pole mkuu
 
Khaaaa😂😂😂
Nguruwe pori kashafanya yake jaman
Huyu jamaa kuna thread humu alikuwa anajisifu kinoma sijui mke wake anampenda sijui wana chemistry kila siku anamuona ni mpya, mambo kibao,

nikasema lahaula sisi tulio single tunakosa vingi kumbe hamna kitu humo na ubaya ndoa za kikatoliki hazivunjwi kirahisi mbona cha moto atakiona 🤣🤣🤣🤣
 
Whatever the case ila ulikuwa unamsifia sana mkeo sijui ni fundi, mpole mna chemistry etc hadi nikakuonea wivu kumbe unapigwa na vitu vizito humo ndani na husemi 🤣🤣🤣🤣

Kivyovyote vile ile comment ilionyesha kuwa umeoa na unaishi na mke kwa muda mrefu sana

au ulikuwa unadanganya?

Sema hapana ni ukweli bana mkeo anakutesa sana pole mkuu
Ahahahahah..unazingua bwana, sijawah kufanya suala hilo, si uweke hapa screenshot mbona simple tu kutafuta comments za mtu !!.
 
Huyu jamaa kuna thread humu alikuwa anajisifu kinoma sijui mke wake anampenda sijui wana chemistry kila siku anamuona ni mpya, mambo kibao,

nikasema lahaula sisi tulio single tunakosa vingi kumbe hamna kitu humo na ubaya ndoa za kikatoliki hazivunjwi kirahisi mbona cha moto atakiona 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Mie sicheki kufurahia jamaa kuumizwa na ngiri
Tatizo unavyoongea ndio inachekesha
Mapenzi yana raha yake. Yakianza yanabaruza vibaya mno. Yakifika muda ya ungiri ni balaa😂
Hainaga come back
 
In short huyu jamaa inatakiwa awe kataa ndoa (amuache mkewe kwa muda kidogo) ajitafakari maisha yake yalivyo na yatakavyokuwa hapo siku za mbele ndo aamue arudi au abaki hivyo hivyo wabaki kulea watoto tu.

Atapasuka kichwa huyu
 
Uko sahihi, nalifikiria hilo, i will consider a leave this december, ndio najiuliza hata sijui naanza kuelekea upande upi!
 
Back
Top Bottom