Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
😂😂😂Ndio nilikuwa nimeshaivua tayari kwa mashambulizi, Ile ameona trako na ips akanambia hivo mbn nilivaa haraka haraka nikaondoka mm
Sisterhood is proud of you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Ndio nilikuwa nimeshaivua tayari kwa mashambulizi, Ile ameona trako na ips akanambia hivo mbn nilivaa haraka haraka nikaondoka mm
Kunywa maji mkuu upunguze hasira, enheee kwani hao nguruwe pori na ngiri walikufanyaje jaman?😂Ujinga huu siku watu hawautaki. Wazee wetu walikua na vifua kwakua mama zetu waliwastahi sana na waliwapa heshima na walikua na maadili mnoo sio kama ngiri hiz za leo nguruwe pori kabisa
Sijawah kuwa na ndoa ya 18yrs, maana kwa umri nilionao unataka kusema nilioa at 17yrs🤣🤣🤣 Unaongea kwa hisia sana mkuu we jamaa si ulikuwa unasifia ndoa yako ina miaka 18 🤣🤣 vipi mbona vilio kila nyuzi humu
Khaaaa😂😂😂🤣🤣🤣 Unaongea kwa hisia sana mkuu we jamaa si ulikuwa unasifia ndoa yako ina miaka 18 🤣🤣 vipi mbona vilio kila nyuzi humu
Siwez hata kusimulia, nisije nikalowanisha zerver za JF kwa machoziKunywa maji mkuu upunguze hasira, enheee kwani hao nguruwe pori na ngiri walikufanyaje jaman?😂
Whatever the case ila ulikuwa unamsifia sana mkeo sijui ni fundi, mpole mna chemistry etc hadi nikakuonea wivu kumbe unapigwa na vitu vizito humo ndani na husemi 🤣🤣🤣🤣Sijawah kuwa na ndoa ya 18yrs, maana kwa umri nilionao unataka kusema nilioa at 17yrs
Huyu jamaa kuna thread humu alikuwa anajisifu kinoma sijui mke wake anampenda sijui wana chemistry kila siku anamuona ni mpya, mambo kibao,Khaaaa😂😂😂
Nguruwe pori kashafanya yake jaman
Bas bas mkuuSiwez hata kusimulia, nisije nikalowanisha zerver za JF kwa machozi
Ukiona moto unazidi kimbia usije ukatufia humu 🤣🤣🤣Siwez hata kusimulia, nisije nikalowanisha zerver za JF kwa machozi
Ahahahahah..unazingua bwana, sijawah kufanya suala hilo, si uweke hapa screenshot mbona simple tu kutafuta comments za mtu !!.Whatever the case ila ulikuwa unamsifia sana mkeo sijui ni fundi, mpole mna chemistry etc hadi nikakuonea wivu kumbe unapigwa na vitu vizito humo ndani na husemi 🤣🤣🤣🤣
Kivyovyote vile ile comment ilionyesha kuwa umeoa na unaishi na mke kwa muda mrefu sana
au ulikuwa unadanganya?
Sema hapana ni ukweli bana mkeo anakutesa sana pole mkuu
Acha kabisaa. Acha niwe mpole tu nikubali matokeo, nilee madogo tuBas bas mkuu
Mie mwenywe machozi yameanza kunilenga na hujaanza kusimulia
Kaa zako mbali na nguruwe pori mkuu.
Ni muda umepitia sana mi siwezi tafuta ila nikipata nitakutagAhahahahah..unazingua bwana, sijawah kufanya suala hilo, si uweke hapa screenshot mbona simple tu kutafuta comments za mtu !!.
Hujui tu ilivyo ngumu, unamkiambiaje kirahis hivyo mtu umezaa nae watoto wa 4?? Do you think ni rahis ki namna hiyo???Ukiona moto unazidi kimbia usije ukatufia humu 🤣🤣🤣
Hama hata mtaa au mkoa mkuu shauri zako
😂😂😂Huyu jamaa kuna thread humu alikuwa anajisifu kinoma sijui mke wake anampenda sijui wana chemistry kila siku anamuona ni mpya, mambo kibao,
nikasema lahaula sisi tulio single tunakosa vingi kumbe hamna kitu humo na ubaya ndoa za kikatoliki hazivunjwi kirahisi mbona cha moto atakiona 🤣🤣🤣🤣
Pole sana mkuu, shits happen sometimes na maisha lazma yaendelee.Acha kabisaa. Acha niwe mpole tu nikubali matokeo, nilee madogo tu
In short huyu jamaa inatakiwa awe kataa ndoa (amuache mkewe kwa muda kidogo) ajitafakari maisha yake yalivyo na yatakavyokuwa hapo siku za mbele ndo aamue arudi au abaki hivyo hivyo wabaki kulea watoto tu.😂😂😂
Mie sicheki kufurahia jamaa kuumizwa na ngiri
Tatizo unavyoongea ndio inachekesha
Mapenzi yana raha yake. Yakianza yanabaruza vibaya mno. Yakifika muda ya ungiri ni balaa😂
Hainaga come back
Ni kwel aisee, ndio maisha. Kuna time unapata hasiraaaa unataman kutukan kila mtu, ila tena unaona, "then what??, does it change anything?".Pole sana mkuu, shits happen sometimes na maisha lazma yaendelee.
Uko sahihi, nalifikiria hilo, i will consider a leave this december, ndio najiuliza hata sijui naanza kuelekea upande upi!In short huyu jamaa inatakiwa awe kataa ndoa (amuache mkewe kwa muda kidogo) ajitafakari maisha yake yalivyo na yatakavyokuwa hapo siku za mbele ndo aamue arudi au abaki hivyo hivyo wabaki kulea watoto tu.
Atapasuka kichwa huyu
Una hali ya hatari mkuu we hujiulizi kwann wanaume wanawahi kufa huo moyo utaburst siku moja amini kwamba tafuta amani kwa njia yoyote ileUnaugulia ndani kwa ndani
Nenda hata kijijini huko ndichi ndichi uone nature ilivyo akili mbona itatulia tuUko sahihi, nalifikiria hilo, i will consider a leave this december, ndio najiuliza hata sijui naanza kuelekea upande upi!