Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

Kwa sababu hujampunguzia uchovu alionao
Uchovu unaanza kupunguzwa tangu mlangoni mkuu mengine yatafuata huko ndani.

Wewe unataka kila kitu nikimalizie hapo waaaaaahhh...uchovu mwingine unamalizwa na maji ya kuoga bhana...mengine huko ni faraja na kuimalizia siku
 
ha ha ha ha
 
Mkuu, mimi naunga hoja hii bila kukupinga.. [emoji849][emoji849]
 
Hahahahahaaa
Yeye: Hilo vumbi miguuni sasa, hebu futa miguu utanichafulia sebule yangu leo nilishinda nadeki.

Mimi: (kimoyomoyo) Lione kichwa kama andazi.
(Kwa sauti) Sawa nimekuelewa bibie, umeshindaje lakini?
 
Back
Top Bottom