Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wewe hauna mapenzi madam? 😊😊Wenye wapenz mje hapa
Nilimuita my everything na niliachwa sahizi ni mwendo wa my gunia la mkaa 😂😂Wewe hauna mapenzi madam? 😊😊
Tumekuja [emoji28]Wenye wapenz mje hapa
Namfanisha na chocolate cake..zile mpya zinazotangazwa na Bakharesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumekuja [emoji28]
Oohh pole sana madam.Nilimuita my everything na niliachwa sahizi ni mwendo wa my gunia la mkaa 😂😂
Sasa mm najuaje kama anajihis Yuko peponi 😂😂
Namfananisha na Betpawa,faida kidogo hasara mlimaKuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao.
Kwa mfano:
your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
AsantesanaOohh pole sana madam.
Tuko hapa tunawasubiri mlete majina😂😂Tumekuja [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole sanaKuna hii pisi nimeipata juzi kati inaitwa zai,sahizi nataka nibadili jina nisevu,"Mafao"maana si Kwa mizinga hii.
JiniKuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao.
Kwa mfano:
your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
[emoji28][emoji28][emoji28]Tuko hapa tunawasubiri mlete majina[emoji23][emoji23]