Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Yule ex wangu niliyekuwa nampenda sana tulikuwa tunaitana na nilimsave "smart ass"[emoji23]Mie sinaga majina mazuri/romantic kwa wapenzi wangu
Yule ex wangu niliyekuwa nampenda sana tulikuwa tunaitana na nilimsave "smart ass"
Huyu wa sasa hivi nae ana jina lake ambalo ni mbali na uromantic
Sent using Jamii Forums mobile app