Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao.

Kwa mfano:
your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
Parachichi.
 
Weka akiba ya maneno utakuja nishukuru baadae.
20230605_153519.jpg
 
Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao.

Kwa mfano:
your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
KACHUMBARI, yaani ni pasua kichwa haswaa, michanganyo yote naiona
 
Back
Top Bottom