Mpenzi wangu alinidanganya umri

Tulia tu..
 
🀣🀣🀣🀣
Ukinipa hela kweli nakuwa upande wako.
Hahahaha..............Mchagga na hela ni kama Wazee na Kiko 😜

Haya njoo na lipa namba nikuwekee saivi πŸ€—
 
Yaani tangu ujiunge jf leo ndio umeongea pointπŸ˜€
Naona una dharau Kwa Wazee, tangu lini Wazee tukose points tukiongea 😜

Haya naisubiri hiyo lipa namba, kama ipo mbali hebu Fanya kunidipu na ile simu inayopokea hela πŸ€—
 
Naona una dharau Kwa Wazee, tangu lini Wazee tukose points tukiongea 😜

Haya naisubiri hiyo lipa namba, kama ipo mbali hebu Fanya kunidipu na ile simu inayopokea hela πŸ€—
Aaaah wazee wa siku hizi ni wazee wa hovyoπŸ˜€

Chaap babu nakudipu.
 
Aaaah wazee wa siku hizi ni wazee wa hovyoπŸ˜€

Chaap babu nakudipu.
Ni Kwa baadhi, sio Kwa Mzee Grahams hapa πŸ€—

Namba yako ndiyo ile inaishia na 38 eeh 😜

Tegemea muujiza wa MPesa Mjukuu πŸ€—
 
Hiyo tofauti ya miaka minne ndiyo unalia? Sema tu umemchoka.
 
kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Ikiwa aliyekuchanganya ni mwanaume halisi jitahidi uachane na akili za kitoto kitoto eti ana umri mdogo ilhali ameshakukaza mara kibao.
 
Ni kawaida tu Wala usiwe na mashaka

Mbona Emmanuel macron rais wa ufaransa amemwoa mwalimu wake Brigitte aliyemfundisha elementary grade, mwalimu wake ana miaka 71 huku rais mwenyewe ana miaka 47 . [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Eboooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…