Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Tulia tu..
 
🤣🤣🤣🤣
Ukinipa hela kweli nakuwa upande wako.
Hahahaha..............Mchagga na hela ni kama Wazee na Kiko 😜

Haya njoo na lipa namba nikuwekee saivi 🤗
 
Yaani tangu ujiunge jf leo ndio umeongea point😀
Naona una dharau Kwa Wazee, tangu lini Wazee tukose points tukiongea 😜

Haya naisubiri hiyo lipa namba, kama ipo mbali hebu Fanya kunidipu na ile simu inayopokea hela 🤗
 
Naona una dharau Kwa Wazee, tangu lini Wazee tukose points tukiongea 😜

Haya naisubiri hiyo lipa namba, kama ipo mbali hebu Fanya kunidipu na ile simu inayopokea hela 🤗
Aaaah wazee wa siku hizi ni wazee wa hovyo😀

Chaap babu nakudipu.
 
Aaaah wazee wa siku hizi ni wazee wa hovyo😀

Chaap babu nakudipu.
Ni Kwa baadhi, sio Kwa Mzee Grahams hapa 🤗

Namba yako ndiyo ile inaishia na 38 eeh 😜

Tegemea muujiza wa MPesa Mjukuu 🤗
 
Hiyo tofauti ya miaka minne ndiyo unalia? Sema tu umemchoka.
 
kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Ikiwa aliyekuchanganya ni mwanaume halisi jitahidi uachane na akili za kitoto kitoto eti ana umri mdogo ilhali ameshakukaza mara kibao.
 
Ni kawaida tu Wala usiwe na mashaka

Mbona Emmanuel macron rais wa ufaransa amemwoa mwalimu wake Brigitte aliyemfundisha elementary grade, mwalimu wake ana miaka 71 huku rais mwenyewe ana miaka 47 . [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Eboooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom