Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Zawadi gani hiyo.....Ngoja nimtafutie zawadi Atoto ili asiwe upande wako 😜
Ahahaha daaha. Hatareee kabisa...
Mzee vipi lakini harakati zinaenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zawadi gani hiyo.....Ngoja nimtafutie zawadi Atoto ili asiwe upande wako 😜
Tulia tu..Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Ahahahha daaah aiseee....Mzee wa wapi!! Huyo yanki tu aloamua kujivika uzee. Asijali, ataufikia tu.
Hahahaha..............Mchagga na hela ni kama Wazee na Kiko 😜🤣🤣🤣🤣
Ukinipa hela kweli nakuwa upande wako.
🤣🤣🤣 Nikipewa hela tu, nakukana.Ahahahha daaah aiseee....
Kumbe anatuchora humu
Sema na wewe ukute ujapewa kazawadi ndo mana unasema ni mtoto ahahaha
Yaani tangu ujiunge jf leo ndio umeongea point😀Haya njoo na lipa namba nikuwekee saivi 🤗
Naona una dharau Kwa Wazee, tangu lini Wazee tukose points tukiongea 😜Yaani tangu ujiunge jf leo ndio umeongea point😀
Aaaah wazee wa siku hizi ni wazee wa hovyo😀Naona una dharau Kwa Wazee, tangu lini Wazee tukose points tukiongea 😜
Haya naisubiri hiyo lipa namba, kama ipo mbali hebu Fanya kunidipu na ile simu inayopokea hela 🤗
Apelekewe moto na Dogolasii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umri ni namba tu, wewe endelea kupelekewa moto hakuna shida
Ikiwa aliyekuchanganya ni mwanaume halisi jitahidi uachane na akili za kitoto kitoto eti ana umri mdogo ilhali ameshakukaza mara kibao.kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama umezaa naye bas endelea naye,ila kama anajitambua umri ni namba tu Kwan mboro haipiti
Eboooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kawaida tu Wala usiwe na mashaka
Mbona Emmanuel macron rais wa ufaransa amemwoa mwalimu wake Brigitte aliyemfundisha elementary grade, mwalimu wake ana miaka 71 huku rais mwenyewe ana miaka 47 . [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]