Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nikuite uwasome vibuyu wawili 😂😂Umewezaje kudate na mtu hajui kuandika vizuri.??
I second you!Not cool...
Not cool AT ALL...!
Utoto raha sana.Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994...
Unatakqkuoa umri ama mpenziNina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
View attachment 3036912View attachment 3036914
Kwani umri ndiyo unakuchakata? Unaweza lilia wa umri wako ukampata lakini ikawa tia maji tia maji, kama mmependana wewe kula raha maisha yenyewe mafupiNina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Tatizo si mashangazi wa umri wao hakuna kitu, unakuta mtu mkanda nje lakini anamkimbia mkewe 🤩 mtu miaka yupo mkewe lakini mwaka unaisha anakimbia kimbia unategemea huyo mkewe akikutana na kijana azuga kweli?Zamani ilikua mtu mwenye umri mkubwa,hasa mdada akionwa tupu yake na watoto,anajisikia vibaya,sasa hivi ndo hao mashangazi unaowasikia,wanaliwa na watoto sawa na watoto wao,ilianza kiufichoficho,sasa imekua waziwazi.
Sasa kama huwezi kuendelea maisha bila yeye si uendelee naye tu?Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.
Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Hupendi dogo dogo?Ningekuwa wewe ningejiua kabisa
Kutoka moyoni sipendi wadogo zanguHupendi dogo dogo?
Nipe tumbua basi mchuchuKama umezaa naye bas endelea naye,ila kama anajitambua umri ni namba tu Kwan mboro haipiti
HujaulizwaKutoka moyoni sipendi wadogo zangu