Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

Sioni shida, 4yrs kawaida sana, ila kama nafsi inakusuta ni heri mkapigana chini tu. Sasa 30yrs mbona wazee wa 50-60 tupo🤣🤣 ni wewe tu kuchagua age unayoitaka.
 
Cold water umekutana na hot water na kashakujibu kwani haipiti dadeq 😂😂😂
Jamaa ndimu sana.!!
Kavu sana huyo dogo 😹
Shangazi tulia dogo akuperepetue
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.

View attachment 3036912View attachment 3036914
Unatakqkuoa umri ama mpenzi
 
Zamani ilikua mtu mwenye umri mkubwa,hasa mdada akionwa tupu yake na watoto,anajisikia vibaya,sasa hivi ndo hao mashangazi unaowasikia,wanaliwa na watoto sawa na watoto wao,ilianza kiufichoficho,sasa imekua waziwazi.
 
Kwani umri ndiyo unakuchakata? Unaweza lilia wa umri wako ukampata lakini ikawa tia maji tia maji, kama mmependana wewe kula raha maisha yenyewe mafupi
 
Zamani ilikua mtu mwenye umri mkubwa,hasa mdada akionwa tupu yake na watoto,anajisikia vibaya,sasa hivi ndo hao mashangazi unaowasikia,wanaliwa na watoto sawa na watoto wao,ilianza kiufichoficho,sasa imekua waziwazi.
Tatizo si mashangazi wa umri wao hakuna kitu, unakuta mtu mkanda nje lakini anamkimbia mkewe 🤩 mtu miaka yupo mkewe lakini mwaka unaisha anakimbia kimbia unategemea huyo mkewe akikutana na kijana azuga kweli?
 
Nina mpenzi ambaye tumedate mwaka mmoja na nusu, lakini kumbe kanidanganya kuhusu umri wake. Mimi ni mwanamke, nimezaliwa mwaka 1994, na yeye ni mwanaume, kazaliwa mwaka 1998. Nimegundua hili baada ya kuona cheti chake cha kuzaliwa.

Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi mwezenu kwa sababu nilimpenda sana mwanaume huyu na sasa nashindwa kuendelea na maisha bila yeye. Yoyo, nifanyeje? Nimedanganywa... angalieni hizi chati jamani! Yoyo, amenipotezea muda wangu.

Ninajiuliza nitampata wapi mtu wa umri wangu ambaye nitampenda? Mapenzi ni kitu kigumu; unaweza kumpata mtu wa umri wako lakini asikuvutie hata kidogo. Nimechanganikiwa jamani, nisaidieni mwezenu tafadhali.
Sasa kama huwezi kuendelea maisha bila yeye si uendelee naye tu?

Thread zingine bwana
 
Vyeti waachie NIDA wewe peta tu , 1994 ni 30 na yeye 1998 26 mbona mnaendana tu wengine 40 wamechoka wake zao wanachanga huko🤣🤣🤣
 
Kama umezaliwa 94 we ni kashangazi. Usihuzunike.
 
Back
Top Bottom