Mpenzi wangu alinidanganya yeye ni bikra!

Hypershulemia

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
275
Reaction score
841
Habari wana Jf

Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!

Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!

Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.

Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.

Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.

Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.

NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE
 
Aisee!.

Tit for Tat. Mungu anakupa wa kufanana na kuendana naye.

Wewe ulidhani uendelee kuchachua vitumbua vya wengine, huku chako kikitunzwa kinakusubiri?

Kwa nini wewe usijilaumu kwa kutokuwa Bikra?

Tuachane na hayo yote, hivi Bikra ingekusaidia nini wewe? Ingeongeza kiwango chako kiuchumi? Ingeimarisha afya yako? Bikra watu wanaupa umuhimu uliopitiliza.

Kama ambavyo unadai umeoa mke wa mtu, basi naye kaolewa na mume wa mtu.
 
Ingekuwa bikra ni dhahabu nami ningetafuta
 
Mungu amekupa wankufanana nae. Ungekuwa Mwaminifu na wewe ungepata Mwaminifu. Uliharibu wadada wa wengine nan awaoe upandacho ndicho uvunacho
Nakazia👏

Alafu Bikra sio kwamba ni mfupa kwamba hauvunjiki watu wanapitia vitu vingi katika ukuwaji wao hawezi jua mtu kapoteza akiwa anafanya nini maybe mikao au michezo nk
 
images.jpeg
 
Aisee!.

Tit for Tat. Mungu anakupa wa kufanana na kuendana naye.

Wewe ulidhani uendelee kuchachua vitumbua vya wengine, huku chako kikitunzwa kinakusubiri?

Kwa nini wewe usijilaumu kwa kutokuwa Bikra?

Tuachane na hayo yote, hivi Bikra ingekusaidia nini wewe? Ingeongeza kiwango chako kiuchumi? Ingeimarisha afya yako? Bikra watu wanaupa umuhimu uliopitiliza.

Kama ambavyo unadai umeoa mke wa mtu, basi naye kaolewa na mume wa mtu.
Tatizo ni uongo wa mwanamke, huyu mume kaambiwa sababu ya kunyimwa kuhondomola ni sababu yeye bikra. Sasa mume kaamini. Asingedanganya kulikuwa hakuna tatizo.
 
Habari wana Jf

Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!

Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!

Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.

Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.

Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.

Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.

NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE
Ukiona msichana ana tako hapo hakuna bikra mkuu, huwezi kuwa wa kwanza kuliona tako.
 
Tatizo ni uongo wa mwanamke, huyu mume kaambiwa sababu ya kunyimwa kuhondomola ni sababu yeye bikra. Sasa mume kaamini. Asingedanganya kulikuwa hakuna tatizo.
Yeye hajawahi kusema uongo? Kwa nini kwake kumuume lakini akitenda yeye ni hewala?
 
Habari wana Jf

Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!

Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!

Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.

Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.

Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.

Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.

NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE
Kizazi hiki za facebook ukute bikra .kama unataka bikra ungemfuga akiwa mdogo kwenue banda ili isikumbane na wale mbususu.halafu acha ujinga wewe mbona umetoboa mbususu za wenzio .tuliza akili kula mbususu plane
 
Back
Top Bottom