Hypershulemia
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 275
- 841
Habari wana Jf
Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!
Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti akakubali ila sharti mzigo mpaka tufunge ndoa maana yeye ni bikra!
Basi mwamba nikakubali huku nachachua kwa pisi zingine, mwaka huu tarehe 03 September, 2023. tulifunga ndoa ya kikristo.
Shida Inaanza: Baada ya sherehe usiku ukawadia mwanaume nichakate mbususu yangu iliyohalarishwa keep sheria, Sikuamini macho yangu kukuta binti hana bikra,,,,,, Yani kiufupi breki ilikuwa ni mbupu.
Sasa wadau nashindwa nimfanyaje kwa kosa la udanganyifu alilonifanyia! Maana mpaka sasa sijamwambia chochote bado.
Na tangu kitambo nishajiapiza sitaoa mwanamke asiye bikra, hapa ni kama nimeoa mke wa mtu.
NAHITAJI USHAURI NINI NIFANYE