Mpenzi wangu alinifumania, ananichanganya!

Ni mzimuuu hii kalii
 
Uyo anakujibu huku amekalia mkuyenge wa muhuni ndo maana anashindwa kutoa jibu moja.......kwa utam anaopewa.........
AlΓ€fu nikusanue mademu wote wanacheet sema sisi ndo kujuwa inakuwa ngumu.......
 
Uyo anakujibu huku amekalia mkuyenge wa muhuni ndo maana anashindwa kutoa jibu moja.......kwa utam anaopewa.........
AlΓ€fu nikusanue mademu wote wanacheet sema sisi ndo kujuwa inakuwa ngumu.......
πŸ™„
 
Ningekuwa ni mimi huyo mwanamke wako kabla sijaondoka ningewaogesha maji ndoo tatu kwanza 😹😹😹
 
Uyo anakujibu huku amekalia mkuyenge wa muhuni ndo maana anashindwa kutoa jibu moja.......kwa utam anaopewa.........
AlΓ€fu nikusanue mademu wote wanacheet sema sisi ndo kujuwa inakuwa ngumu.......
Umelewa unaanza kutoa siri zetu?
 
Ungejiongeza kidogo tu basi ungeelewa.

Tatizo hapo sio yeye, mtu asiyekupenda hakucheleweshei jibu. Kiufupi tu ni kwamba wewe ndiye msaliti na maana ya usaliti ni kutokuridhika. Hivyo wewe ndiye unamuweka kwenye njia panda.
Ili uelewe hakikisha unavaa uhusika wake. Iko hivi anakupenda kwasababu alikuchagua kukupenda na hakupenda kwasababu aliyechagua kumpenda haupo kama alivyokudhania. Ni dhahiri anajiuliza akusamehe akiamini utarudi kama anavyokutarajia au asikusamehe kwasababu ushabadirika.

Hakuna swala gumu hapo Jitathimini kama bado unaweza kuwa mwanaume ambaye anakutarajia. Ukichelewa unapigwa chini especially akijiridhisha kuwa you are no longer a man ov her choice.

Kila la kheri
 
Ungekataa na kusingizia umerushiwa majini kama Mayele
 
huu ndo ushauri sasa ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…