Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahangaikaje na mambo madogo namna hiyo,. Kwanza ilikuwaje hadi ukafumwa na wewe🙄kivipi yani..?
Pamoja na kwamba ni chai ila hiyo supa loaf ni hbari nyingine
You’re not seriousyour not serious
Wacha UFALA endelea kula pombe Mzee wangu akili itakaa Sawa.alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! yani fumanizi la 100 percentage..
zikapita siku mbili hanitafuti nami nikawa kimya namawazo sijui naanzia wapi kujitetea,nikaona isiwe tabu nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi kisha nikampigia simu!.
Nikajua hata atakuja juu lkn mtoto wa watu ndo kwanza akawa mpole kama maji ya kwenye mtungi!.. baada ya salamu nikamuuliza "umenisamehe..?" akacheka kidogo halafu akakaa kimya.
nikamuuliza tena "au ndo umeniacha tayari..??"
akavuta pumzi akajibu
"nimekuacha na sijakuacha pia!" hapohapo akakata simu!
nikapiga tena akaniuliza nini..? nikamuambia "Nakupenda"
akajibu "Nakupenda na sikupendi pia".
nipo matatani ananichanganya sana sielewi hapa majibu yake mawili mawili yaninitia sonona na mtanziko wa mawazo! kwa ambae amekutana na swahibu kama hili ulifanyaje kuyaweka mambo sawa ,kijana wenu penzi bado nalitaka maana mtoto miuno kama feni bovu!.
Hahahahaha nimecheka sana MkuuBora wewe Mimi hali tete huku
View attachment 3044911
😂😂😂🪘 Kubababek hapo na Wewe unatafuta chimbo lako unaingia kaunta halafu unaagiza bar maid mmoja baridi sana unaenda nae kumalizana nae kwa room baada ya hapo ubao unasoma both team to score yaan 1:1Bora wewe Mimi hali tete huku
View attachment 3044911
Nipo hapa nachukua noticeJiongeze hapo kanunue mazaga anayopenda
Mtumie na kibunda cha haja
Halafu tulia sasa