King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Super Loaf ni mkate bomba sana hasa ukipata ule uliotoka kikoni leo leo ,ukipiga na peanut butter hapo machana ni mwendo wa maji tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Super Loaf ni mkate bomba sana hasa ukipata ule uliotoka kikoni leo leo ,ukipiga na peanut butter hapo machana ni mwendo wa maji tu.
Huko anapuzunguka asiwe anatembelea "RIM" aka asiwe anauza MECHI maana "DRUM" is Real.
Naunga mkono hoja 🤣😁Super Loaf ni mkate bomba sana hasa ukipata ule uliotoka kikoni leo leo ,ukipiga na peanut butter hapo machana ni mwendo wa maji tu.
Njoo tule mkateHuo mkate ni mtamu sana!
Tulishakubaliana hata kama ufumaniwe vp... Hakuna kukubali... Ni kukana mwanzo mwishoYawezekana alienda Kumbandua kwa huyo Demu ndiyo yakamkuta hivyo Mkuu. Ukiwa Mtu wa Medani huwezi Kufumaniwa.
KumekuchaMtu aliyezoea kuchepuka akimfumania mchepukaji kwake sio issue wala... so utasamehewa tu mkuu. Ila jiandae kisaikolojia coz kama alikua anafanya kwa kujificha now atajiachia.
Sasa kwanini mkiwafuma na wanaokula mboga tofauti mnawaua? Au mnatakaga mle vya wenzenu ila vya kwenu aaahwe unaweza kula ugali kila siku...?
Aliyekufundisha ku Tag alaaniwe