Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Jamaa mbinafs sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee no za hao mademu wako wa pembeni umempa yeye? Au umewapigia kuwaambia mbele yake kuwa huwapendi? Acha ubinafsi khaaah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mbinafs sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee no za hao mademu wako wa pembeni umempa yeye? Au umewapigia kuwaambia mbele yake kuwa huwapendi? Acha ubinafsi khaaah.
Mpaka unasalitiwa mara ya pili akili kichwani mwako ndugumwanamke akisaliti ni mbaya kuliko sie vidume,huenda anampenda huyo jamaa ndo kagoma kunipa namba ya uyo bwana wala hataki kumpigia tukiwa wote ili amwambie kuwa ana mtu anayempenda
Huyo demu amewahi kukaa dodoma?dem mwenyew hana maajabu yoyote kitandani basi tu yaan.
Kila mtu na imani yake broo, kama huna ushauri bora kukaa kimya
KhaaaaaahMpe adhabu ya kumfumua marinda ili kutoa heshima tena unapaka vumbi la kongo na uhakikishe Hadi anatoa mbolea kwa ustawi wa mahindi msimu huu wa mvua chache!!
Anashangaza mnoo yaan lol. [emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa mbinafs sana
Nisawaambia wanawake wenye viajira hawafai hamsikii. MWANAMKE WA KUAJIRIMA WANATOMBWA SANA HUKO MAKAZINI hamsikii, kama hyo haitoshi, wanadharau na jeuri na ni wajuaji HAMSIKII, HONGERA NA UTATOMBEWA SANA MKUU.Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu.
Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
Wa kukaa nyumbani wanatombwa na bodaboda na wapemba wenye magenge mkuu.Nisawaambia wanawake wenye viajira hawafai hamsikii. MWANAMKE WA KUAJIRIMA WANATOMBWA SANA HUKO MAKAZINI hamsikii, kama hyo haitoshi, wanadharau na jeuri na ni wajuaji HAMSIKII, HONGERA NA UTATOMBEWA SANA MKUU.
Na ulivyo dhaifu mwanamke anatombwa afu unakuja kuuliza hatua ya kuchukua. Aise wanaume wa Dar ni janga la kitaifa.
Kama huna malengo naye makubwa, hakuna shida
Mwanamke hata kama ulikuwa na malengo nae kiasi gani bt ikitokea ameanza kuonyesha dalili tu za cheating achilia mbali ukiwa umemfumania kabisa huyo ni wa kumtumia tu kwa muda flan hiv then baadae una muacha na maisha yake unaangalia biashara nyingine wapo wengi sana mkuu isipokuwa inatakiwa umakini sana kungalia hitaji lako.Nina malengo nae