Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutakiwi kusamehe kabisaaaMwanaume hutakiwi kusamehe kirahisi..
Msamehe tu kwa sababu mnafanana tabia.Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu.
Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
j i n g a k a b i s a w e w eNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.

Wewe achana na huyo mtoto mzee! Kabinti ka miaka 22 unaenda nacho wapi mzee hebu tafta mkubwa mwenzio walau alietuliza kichwa mwenye 25yrs ndio mpange mipango ya maishaNipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.
Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.
Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu.
Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!
Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.
Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.
ASANTENI.
GGBoth team to score [emoji23][emoji23][emoji23]
Alishaku cheat mara 5 kabla na huyo bwege sema wamefikia stage ambayo wame relax sana ndio maana ukamshika demu wako ugoni!😅kumbuka karudia mala mbili kunicheat
Hahahahahah mwanamke akianza kuliwa nje lazma aanze dharau za ajabu mara kutoa K hataki anakubania😅 af anaona kawaida sana tu!Nyie wanawake mkianza kuliwa na washkaji wengine ni tatzo ukinogewa uko kinachofuata no matukio tu huwa hamuwezi kabsa kucontrol hisia zenu
Wanawake ni wanafiki namba 1 hata alie na kugalagala ni aheri kutomsamehe tu😅Kama ameonesha kujutia msamehe tuu.. binadadamu tumeumbiwa makosa
Kama hutaweza kumsamehe no kheri muachanetuu
Naona gwiji katika ubora wako wa kuelezea mbinu chafuHivi mtu unadanganywaje eti "niambie ukweli nikusamehe".?
Kosa kama hilo sio la kukiri labda akukute kwenye tendo husika tofauti na hapo kukubali ni uzembe.
asante kwa ushauri wako mkuu.Rules of thumb!
1.Mwanaume anasaliti kwa tamaa tu.
2.Mwanamke anasaliti kwa hisia za mapenzi juu ya mwanaume husika.
Hio ya kwanza ni rahisi kushugulika nayo ila ya pili ni ngumu sana! Ni ngumu kuvunja emotional attachment baina ya watu wazima wawili ambao wameamua kutimiziana haja kihisia.
Kafanya mara Mbili!...sio Kurudia.Kosa?Msamehe tu..kosa si kosa ila kuridia kosa ndiyo kosa.
Msamehe tena,akirudia mara ya tatu basi Achana naye.kumbuka karudia mala mbili kunicheat
Well said[emoji95]Hamekusaliti vipi wakati bado hujamuoa, ndoa ndio sehemu pekee kwenye kiapo cha kutosalitiana
Lakini kwenye mahusiano we msamehe tu maana yupo kwenye kipindi cha kuchagua yupi sahihi kwake inawezekana huyo jamaa ndio akaja kumuoa
Mapenzi usiyachukulie serious sana maana utaumia kila siku