Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Cha kwanza unatakiwa uweke wazi amekusaliti kupitia tundu ipi kati ya hizo tundu zake mbili?
Kama amekusaliti kupitia tundu pendwa basi kung'uta ndala zako halafu usonge mbele pasi na kugeuka nyuma.
 
Mkuu,ukichapiwa,ukijua na kuthibitishiwa na kuombwa msamaha samehe.Ila kuhusu kuendelea na uhusiano hakikisha uko tayari kukaa katika uhusiano ambao akichapwa tena na tena na tena na tena na tena na tena na tena na tena bado utakuwa jasiri wa kumasamehe.Pembeni ya hapo ama utamtesa huyo mwenzio kwa sababu ya kuanguka kwake au utateseka wewe kwa kukaa na mtu ambae humuamini.

Mpenzi kutoka nje ni jambo ambalo lipo hata hivyo kumvumilia na kukubaliana na hio hali inahitaji umpende zaidi ya unavompenda sasa hivi
siwezi nikavumilia kuchapiwa mala zote hizi [emoji19][emoji19][emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
 
Hata kama ukimsamehe, Huyo jamaa anae fanya nae kazi ataendelea kumla tu maana mpaka saivi kashamla mara mbili.

Je,unahisi wameishia hapo?
eti kanambia washaachana,, nifanyaje ili kudhibitisha kweli wameachana??
 
Cha kwanza unatakiwa uweke wazi amekusaliti kupitia tundu ipi kati ya hizo tundu zake mbili?
Kama amekusaliti kupitia tundu pendwa basi kung'uta ndala zako halafu usonge mbele pasi na kugeuka nyuma.
tundu ya mbele,,,hiyo tundu ingine hata gumba huwa anakataa kumuwekea wakat wa kale kamtindo ka mbwa[emoji38][emoji38][emoji1]
 
eti kanambia washaachana,, nifanyaje ili kudhibitisha kweli wameachana??
Ni ngumu kuachana wakati bado wanafanya kazi sehemu moja.

Jiulize kwanini kakunyima namba za jamaa huyo na kwanini kagoma kumpigia mkiwa wote pamoja??
 
tundu ya mbele,,,hiyo tundu ingine hata gumba huwa anakataa kumuwekea wakat wa kale kamtindo ka mbwa[emoji38][emoji38][emoji1]
Anaweza kukataa kwako halafu wengine wakapewa tena kiroho swafi kabisa.
Hebu leo mkague vizuri, hesabu moja moja mpaka uhakikishe yanatimia marinda yote 32.
Likipungua hata rinda moja kung'uta viatu uanze safari ila kana yametimia we samehe tu.
 
eti kanambia washaachana,, nifanyaje ili kudhibitisha kweli wameachana??
Ubaya unakuja hapa ivi,tuchukulie huku msaliti Ila yeye ndo kakusaliti. Hapo itakua ngumu kwa wewe kujua je anavosema nisame nakupenda anamanisha au anatania? Wanafanya kazi sehemu moja so jua tuh hata Kama wameachana Ila jamaa akimuitaji atapata anachokitaka hata Kama huyo dada hataki,naelewa ugumu unaoupata hapo.
 
Hivi mtu unadanganywaje eti "niambie ukweli nikusamehe".?
Kosa kama hilo sio la kukiri labda akukute kwenye tendo husika tofauti na hapo kukubali ni uzembe.
Hakuna mwizi anayekiri kuwa niliiba,kisa tu mmemwambia ukisema ukweli hatukupigi..
 
Hivi mtu unadanganywaje eti "niambie ukweli nikusamehe".?
Kosa kama hilo sio la kukiri labda akukute kwenye tendo husika tofauti na hapo kukubali ni uzembe.
si ni katoto,afu nilimpiga mkwara sio wa nchi hii
 
Ni ngumu kuachana wakati bado wanafanya kazi sehemu moja.

Jiulize kwanini kakunyima namba za jamaa huyo na kwanini kagoma kumpigia mkiwa wote pamoja??
ndo ivo sasa,hapo nimeshindwa kumuelewa
 
Ubaya unakuja hapa ivi,tuchukulie huku msaliti Ila yeye ndo kakusaliti. Hapo itakua ngumu kwa wewe kujua je anavosema nisame nakupenda anamanisha au anatania? Wanafanya kazi sehemu moja so jua tuh hata Kama wameachana Ila jamaa akimuitaji atapata anachokitaka hata Kama huyo dada hataki,naelewa ugumu unaoupata hapo.
afu jamaa ana cheo binti hana
 
afu jamaa ana cheo binti hana
Unaona sasa, ko hapo huyo dada hana jinsi maana hata akijaribu kukataa huyo msela atampitisha kwenye maisha magumu,kumchongea aonekane mfanyakazi mbaya,kumnyima mshahara..
Ili apone Basi aache kazi Kama anaweza si anasema anakupenda Basi afanye Ivo,au Kama kashindwa akupe namba za huyo mwana we uongee nae na Kama hataki kukupatia namba Basi Kuna Jambo lao linaendelea.
 
ndo ivo sasa,hapo nimeshindwa kumuelewa
Elewa kuwa jamaa hawezi kuachana nae na ana mpenda ndo maana hata namba na kuongea nae kagoma kuepusha zogo.

Anataka kuwa na nyote wawili sema kila mtu na role yake.

Wewe kumhudumia na sex
Jamaa keep wa ajiri ya sex tu[emoji28]
 
mwanamke akisaliti ni mbaya kuliko sie vidume,huenda anampenda huyo jamaa ndo kagoma kunipa namba ya uyo bwana wala hataki kumpigia tukiwa wote ili amwambie kuwa ana mtu anayempenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee no za hao mademu wako wa pembeni umempa yeye? Au umewapigia kuwaambia mbele yake kuwa huwapendi? Acha ubinafsi khaaah.
 
Umoe picha kamili nani bwege wewe

Msamehe uendelee kutombewa tu

Eti mwenyewe msaliti

Zezeta kabisa wewe
 
Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.

Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.

Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu.

Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!

Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.

Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.

ASANTENI.
Hayo Mahusiano ni ya kuvunda hayana ubani.

Hayana ishu tena, labda kama mnaamua muendelee for fun tu.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom