Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Wakili tajiri

Member
Joined
Aug 8, 2024
Posts
55
Reaction score
103
Habari za wekeend wakuu,

Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali

Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wangu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano

Sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda Dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena

Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
 
Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wqngu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano,
sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena,
Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Eeeh wapenzi 7 wote hao walikuwa wanamgeuza na kumwinamisha kwa wakati tofauti tofauti..
Unamoyo we mtu.
 
Siku akikuomba hela ukawa huna atanza kuwakumbuka wale ma x waliokua wanampa hela nyingii atawaona wale ni bora kuliko ww………..siku usipo mkunja vizuri atakumbuka mmoja wa ma x zake alivokua anamkunja vizuri…….. hayoo yotee maana yakee ni nn KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELII

Niwahii ibadanii sasa
 
Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wqngu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano,
sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena,
Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Mbona wewe una bahati sana mkuu?Mimi tangu juzi wa kwangu nilivyomuuliza idadi ya x wake alisema nisimtikise bado anawahesabu hadi saa hizi.
 
Back
Top Bottom