Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Kipindi hicho wewe ulikuwa na wangapi.Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wqngu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano,
sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena,
Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Mzinifu haowi ila kwa mzinifu mwenzie