Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Habari za wekeend wakuu,

Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali

Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wangu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano

Sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda Dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena

Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu hivyo oa tu huyo na siku zote vipengele huwa vipo tu,

sisi kuna wengine wametuficha ila mileage detector ya Asili inaonesha kabisa hapa body count hamna hamna hukosi 50+

Sasa unaamua mwenyewe kusuka, kunyoa au vyote kwa mpigo yaani kwa kifupi Ubaya Ubwela
 
Umeongea ukwel mtupu
 
Habari za wekeend wakuu,

Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali

Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wangu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano

Sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda Dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena

Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Muoe huyo dada Mkweli
 
Sio wengi
 
7 tu? Hiyo mali mpya kabisa kilometa 16,000 tu mana kwa ground hali sio! Nyingi km 200,000 zimepakwa rangi tu na buffering.
 
Back
Top Bottom