Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Kama mnapata mpaka mda wa kuulizana ma ex inaonekana how immature you are
That is childishly
 
Habari za wekeend wakuu,

Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali

Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta mpenzi wangu bado hajaolewa tukaendelea na mahusiano

Sasa hivi nataka nimuoe kabisa sasa jana akaniambia anataka kuniambia ukweli baada ya mimi kwenda Dar, alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume 7 kati hao wanaume wake 2 walikuwa wanamsaidia sana akiwaomba hela wanampa tena hela nyingi tu ila ameachana nao baada ya mimi kurudi na ametubu kwa Mungu kwamba hatorudia tena

Je nimuoe au nimuache naombeni ushauri wenu wakuu
Muache
 
Dah ila 7 n wengi sana kwa mwanamke, atleast hata wawe chini ya wanne
 
Back
Top Bottom