Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,166
Reaction score
2,416
salama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
 
salama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu mwingine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
 
wala usiumie sana buda hawa viumbe ndo walivo hiwa wanavutiwa na mambo yaliyopo "superficial".

Kabreak up na wewe ni sawa, atafuta namba zako, picha zenu na mengine mengi tu ila HAWEZI KU 'UNSUCK' your d*ck hiyo itabaki hivo milele na daima.
 
salama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu mwingine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
Mwaka wote huo mzee unasubiri mtu? Umeamua kujitesa wewe, amua kumsahau ili maisha yako yaendelee
 
Hakuna kitu ninacho kipenda kama kuachwa na mpenzi wangu maana napata chansi ya kutafuta goma jipya sasa wewe sijui unalialia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro tafuta hela, make alot of it, may it be the first and last thing you think of before/after you sleep.
After all the success grab that chick you admire soo much and fly her to Bahamas, enjoy that beautiful Carribbean sun
W've got only one life, live it.
 
salama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
hahahahahahah dunia yote hii watu wamejaa kila kona wanawake wazuri kila kona mkuu jipange na ww mkuu ili upate mtoto mwingine mkali sana
 
Back
Top Bottom