Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

Usiumize sana moyo wako tafuta mpenzi mwingine maisha yaendelee.
 
Endelea kuumia
salama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom