chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,166
- 2,416
hatari sanaMungu anatuadhibu sana!hatujawahi kuwapata tunaopendana nao maishani!!!maumivu matupu!!
ndo hivo japo ni maumivu kinomaSema nini mzee piga moyo konde halafu usepe
Unaishi mara moja tu atakuja wako
itaniongezea nachungu naonaHiyo ni tabia ya baadhi ya wanawake.. kamuulize ulikosa nini ili usije boronga kwa afuatae!
sawa mkuuTafuta hela dogo,
Mwaka wote huo mzee unasubiri mtu? Umeamua kujitesa wewe, amua kumsahau ili maisha yako yaendeleesalama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu mwingine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
Nimeangalia jina lako na avatar..Nimecheka nlivyosoma comment yakoTafuta hela dogo,
Mkuu,kipi kimekuchekesha?Nimeangalia jina lako na avatar..Nimecheka nlivyosoma comment yako
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahah dunia yote hii watu wamejaa kila kona wanawake wazuri kila kona mkuu jipange na ww mkuu ili upate mtoto mwingine mkali sanasalama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.