Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

Pole, mpunga huna hata kuzibua masikio haswa lile la chini, we pambana na hali yako na utampata wako
 
Pole sana mzee Baba Tamaa mbele mauti Nyuma


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ni shetan tu kampitia endelea kumpa muda wakati huo ikitafuta pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kulialia wewe kijana, ebu chapa kazi
 
Tafuta pesa.
 
Achana na huo utoto wa kusema umeumia.
Simama imara maisha lazima yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama amekuzidi kila kitu usilalamike sana uwezo hatufanani mzee tafuta wa level yako saiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…