OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
noma sana inauma asikwambie mtuDah mapenzi bana ..afu unakuta apo huna ata kazi yani ..uku maumivu umeachwa bado kazi huna dah ..pole mze pambana..
Sent using Jamii Forums mobile app
ni wewe au?
Mkuu kumbe upo! Sijakuonaga kitambo sana asee..
[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu anisaidie sana nisije nikawa na watoto wenye akili za hovyo namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
salama ndugu zangu.
Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.