Mpenzi wangu ameondoka na mtoto mchanga

Mpenzi wangu ameondoka na mtoto mchanga

Sawa sawa bwana ice,
hivi na uko ma mbelez wanaume wana akili kama za wanaume wetu wa huku gizani????
Matatizo yapo kila sehemu ila yanatofautiana viwango tu,
Huku usaliti hauna msamaha,ukicheat na penzi linaishia hapo hapo,hakuna mtu anayetaka kuishi maisha ya wasiwasi na mtu ambaye hutomuamini tena,

Once a cheater always a cheater,broken trust is rarely rebuilt.
 
wako vizuri sana wanzetu....

Zamani sana , Nilikuwa nasafiri mzungu akanielewa mwenzangu sasa nikashangaa tumefika intermediate point mzungu anajifanyia vitu vyake peke yake maana tulikaa pale masaa kama sita hivi.
Sasa mimi na ushamba wangu nikajua hivi vichenchi vyangu vimepona!!!! kumbe wapi!!!!! mzungu aliniudhi yule tunafika destination anajidaji kunipa kikaratasi sijui cha address na namba za simu wallah! nilivyofika hotelini nilikiflash!!!
Kuna baadhi ya wazungu hawajui utamaduni wa kiafrika wa kuhudumia kipindi cha mtongozo.
 
Kama hajafikisha miezi sita tangu ajifungue huenda yupo kwenye phase ya "kichaa cha uzazi", alikusamehe ila hakusahau baada ya kujifungua ile hasira ikaripuka, ushauri wangu mpe muda wa kupona, mpe nafasi, mtumie matumizi kama kawaida akiwa huko huko, endelea kua muaminifu baada ya muda atajirudi kama bado anakupenda lakini, kama amekuchoka mazima hapo sahau
 
Back
Top Bottom