Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

Yaani umchukie kaka wa damu sababu ya demu tu? Kwa taarifa yako hata huyo demu angeweza kukupiga na kitu kizito kupitia mtu mwingine yeyote! Na kukuongezea, kwa kuwa ndiyo kwanza umeanza, utapata demu mwingine, naye pia utachapiwa na msela flani tu, sasa utachukia watu wangapi?
Hivi mmepagawa akili au kaka Kwa akili timamu anisagie kunguni na kumpindua demu wangu halafu nisimchukie, mnaakili nyie, bila dogo kaka asingemfahamu demu
 
Me and
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.

Ulipita mwaka mzima, siku chache kabla ya graduation ya mwaka uliofuata ambao ndio nilipaswa sasa nigraduate ilitoka list ya mwaka huo lakini jina langu halikuwepo. Ikanibidi niende chuoni kufuatilia.

Nilipofika chuoni na kuanza kufuatilia ndipo nilipokutana na binti huyu. Kiufupi yeye na mimi tulikuwa kwenye the same scenario na yeye hakuwemo kwenye list pia. Tulikutana kama bahati tu nikiwa kwenye kundi la watu nje ya ofisi ya head of department ambaye hakuwemo ofisini, nilishangaa binti mmoja mchangamfu ananifata moja kwa moja akiwa amenyoosha simu yake akanipatia na kuniambia

"Ongea na head of department mwambie tunamsubiri huku ofisini mimi naogopa"

Niliipokea ile simu na huo ndio ukawa mwanzo wa kujuana. Tulibadilishana mawasiliano na baadaye mahusiano yakazaliwa. Nilimpenda sana yule binti ukizingatia sikuwahi pata binti mzuri na smart kama yule maishani mwangu. Kwa bahati nzuri alipata kazi mkoa wa nyumbani kwetu ambako mimi pia ndio ninaishi. Ila yeye akawa anakaa wilayani mimi nakaa mjini. Kuna siku nikiwa kaka yangu yangu ambaye yuko likizo home huyu binti alinipigia na katika maongezi akaniuliza uko na nani nikamjibu niko na kaka yangu akasema hebu mpe simu nimsalimie sikuona shida nikampa wakaongea ila maongezi yalikuwa ya kawaida tu. Niwe muwazi hapa huyu kaka yangu huwa simpendi kihivyo kwa sababu ana tabia ya kuniongelea vibaya hivyo namheshimu tu kwa sababu ni ndugu.

Sasa juzi kuna shosti yake na huyu binti wanafanya kazi sehemu moja alinitumia picha whatsapp ambayo ni ya kaka yangu na kuniuliza kama ninamfahamu, nikamwambia huyo ni kaka yangu je picha yake umeitoa wapi? akajibu amenionyesha Frida (sio jina halisi) ambaye ndio huyo mpenzi wangu. Nilipata mashaka yeye na kaka yangu wamefahamiana vipi wakati wameongea kwa simu tu. Kiukweli mimi huwa sina tabia ya kumuamini mtu yeyote mpaka hapo nikahisi kuchapiwa. Nikawa namfatilia bro kimachale. Kuna siku bro alikuwa anaongea nje ya nyumba na simu nikamfatilia lakini katika maongezi nikabaini anaongea na huyu huyu binti. Usiku wa jana mida ya saa mbili ndio nimeona txt kwenye simu ya bro simu ikiwa lock ila ikaingia txt ya namba ya huyu binti. Txt inasema nanukuu

" Kweli bora niachane nae tu"

Nimemuuliza rafiki yake aliyenitumia picha hajafunguka ila kaniambia tu

" hayo ndio maisha Pacbig"

Nimeumia sana sijajua hata cha kufanya ila I think this is going to be the end of our brotherhood between me and my brother, I hate him more than I hate a devil.
me and my brother...au
My brother and I.

Hata sijui haya makitu
 
Shosti aliyekutumia picha mbona anakuelewa zaidi kwanini usipite nae unahangaika na hao wambea wa ukoo.
 
Mkuu nakushauri usivunje udugu sababu ya mwanamke,,
Tena ambaye wala Sio mkeo.

Wapuuze wote na penzi lao wewe angalia mambo yako..
Ila nakuahidi huenda Mungu amekuepusha na mengi .

Likuepukalo Lina heri.

Cha kufanya mueleze yule mwanamke wako kwamba unajuwa kama kaka yako ana mahusiano nae..
Kaka yako usimuulize chochote.

Hyo itasaidia kuwafanya wajihisi wakosefu mbele yako..

Halafu angalia mambo yako.

There are still a lot of girls on the road waiting for you to pick.
 
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.

Ulipita mwaka mzima, siku chache kabla ya graduation ya mwaka uliofuata ambao ndio nilipaswa sasa nigraduate ilitoka list ya mwaka huo lakini jina langu halikuwepo. Ikanibidi niende chuoni kufuatilia.

Nilipofika chuoni na kuanza kufuatilia ndipo nilipokutana na binti huyu. Kiufupi yeye na mimi tulikuwa kwenye the same scenario na yeye hakuwemo kwenye list pia. Tulikutana kama bahati tu nikiwa kwenye kundi la watu nje ya ofisi ya head of department ambaye hakuwemo ofisini, nilishangaa binti mmoja mchangamfu ananifata moja kwa moja akiwa amenyoosha simu yake akanipatia na kuniambia

"Ongea na head of department mwambie tunamsubiri huku ofisini mimi naogopa"

Niliipokea ile simu na huo ndio ukawa mwanzo wa kujuana. Tulibadilishana mawasiliano na baadaye mahusiano yakazaliwa. Nilimpenda sana yule binti ukizingatia sikuwahi pata binti mzuri na smart kama yule maishani mwangu. Kwa bahati nzuri alipata kazi mkoa wa nyumbani kwetu ambako mimi pia ndio ninaishi. Ila yeye akawa anakaa wilayani mimi nakaa mjini. Kuna siku nikiwa kaka yangu yangu ambaye yuko likizo home huyu binti alinipigia na katika maongezi akaniuliza uko na nani nikamjibu niko na kaka yangu akasema hebu mpe simu nimsalimie sikuona shida nikampa wakaongea ila maongezi yalikuwa ya kawaida tu. Niwe muwazi hapa huyu kaka yangu huwa simpendi kihivyo kwa sababu ana tabia ya kuniongelea vibaya hivyo namheshimu tu kwa sababu ni ndugu.

Sasa juzi kuna shosti yake na huyu binti wanafanya kazi sehemu moja alinitumia picha whatsapp ambayo ni ya kaka yangu na kuniuliza kama ninamfahamu, nikamwambia huyo ni kaka yangu je picha yake umeitoa wapi? akajibu amenionyesha Frida (sio jina halisi) ambaye ndio huyo mpenzi wangu. Nilipata mashaka yeye na kaka yangu wamefahamiana vipi wakati wameongea kwa simu tu. Kiukweli mimi huwa sina tabia ya kumuamini mtu yeyote mpaka hapo nikahisi kuchapiwa. Nikawa namfatilia bro kimachale. Kuna siku bro alikuwa anaongea nje ya nyumba na simu nikamfatilia lakini katika maongezi nikabaini anaongea na huyu huyu binti. Usiku wa jana mida ya saa mbili ndio nimeona txt kwenye simu ya bro simu ikiwa lock ila ikaingia txt ya namba ya huyu binti. Txt inasema nanukuu

" Kweli bora niachane nae tu"

Nimemuuliza rafiki yake aliyenitumia picha hajafunguka ila kaniambia tu

" hayo ndio maisha Pacbig"

Nimeumia sana sijajua hata cha kufanya ila I think this is going to be the end of our brotherhood between me and my brother, I hate him more than I hate a devil.
Dogo achana na huyo mwanamke lakin pia kuwa Makin na Kaka yako.Usimuamini kwa lolote
 
Vunja undugu kaka ako an tabia za kishambaa temana na ndugu mnafiki
 
Tunza undugu na kaka yako .
Mapenzi yapo na pia mwenye kosa ni kaka yako na binti yako .

But huyo Frida ni wa kupita tu ila kaka yako mpo wote siku zote so endelea kumsamehe maumbile tumetofautiana hatujakamilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu, huyu mwanamke asiharibu undugu au heshima kati yako wewe na brother wako. Piga chini kwa hekima, kaa na bro kiutu uzima. Undugu na heshima ni muhimu zaidi kuliko huyo mwanamke. Sio mwaminifu huyo mwanamke...
Hpna why unamkingia kifua brother wake na unajua kuwa amefanya makosa ya makusudi
 
Hapo hakuna namna wakatae wote wawili sio watu wakuendelea kuwakumbatia hata kidogo, nimeona kuna baadhi ya watu wanasema mkatae huyo dem ili mahusiano na brother wako yabaki pale pale, brother wako sio mwema na ww usijaribu kumletea wema ubaya kwa ubaya
 
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.

Ulipita mwaka mzima, siku chache kabla ya graduation ya mwaka uliofuata ambao ndio nilipaswa sasa nigraduate ilitoka list ya mwaka huo lakini jina langu halikuwepo. Ikanibidi niende chuoni kufuatilia.

Nilipofika chuoni na kuanza kufuatilia ndipo nilipokutana na binti huyu. Kiufupi yeye na mimi tulikuwa kwenye the same scenario na yeye hakuwemo kwenye list pia. Tulikutana kama bahati tu nikiwa kwenye kundi la watu nje ya ofisi ya head of department ambaye hakuwemo ofisini, nilishangaa binti mmoja mchangamfu ananifata moja kwa moja akiwa amenyoosha simu yake akanipatia na kuniambia

"Ongea na head of department mwambie tunamsubiri huku ofisini mimi naogopa"

Niliipokea ile simu na huo ndio ukawa mwanzo wa kujuana. Tulibadilishana mawasiliano na baadaye mahusiano yakazaliwa. Nilimpenda sana yule binti ukizingatia sikuwahi pata binti mzuri na smart kama yule maishani mwangu. Kwa bahati nzuri alipata kazi mkoa wa nyumbani kwetu ambako mimi pia ndio ninaishi. Ila yeye akawa anakaa wilayani mimi nakaa mjini. Kuna siku nikiwa kaka yangu yangu ambaye yuko likizo home huyu binti alinipigia na katika maongezi akaniuliza uko na nani nikamjibu niko na kaka yangu akasema hebu mpe simu nimsalimie sikuona shida nikampa wakaongea ila maongezi yalikuwa ya kawaida tu. Niwe muwazi hapa huyu kaka yangu huwa simpendi kihivyo kwa sababu ana tabia ya kuniongelea vibaya hivyo namheshimu tu kwa sababu ni ndugu.

Sasa juzi kuna shosti yake na huyu binti wanafanya kazi sehemu moja alinitumia picha whatsapp ambayo ni ya kaka yangu na kuniuliza kama ninamfahamu, nikamwambia huyo ni kaka yangu je picha yake umeitoa wapi? akajibu amenionyesha Frida (sio jina halisi) ambaye ndio huyo mpenzi wangu. Nilipata mashaka yeye na kaka yangu wamefahamiana vipi wakati wameongea kwa simu tu. Kiukweli mimi huwa sina tabia ya kumuamini mtu yeyote mpaka hapo nikahisi kuchapiwa. Nikawa namfatilia bro kimachale. Kuna siku bro alikuwa anaongea nje ya nyumba na simu nikamfatilia lakini katika maongezi nikabaini anaongea na huyu huyu binti. Usiku wa jana mida ya saa mbili ndio nimeona txt kwenye simu ya bro simu ikiwa lock ila ikaingia txt ya namba ya huyu binti. Txt inasema nanukuu

" Kweli bora niachane nae tu"

Nimemuuliza rafiki yake aliyenitumia picha hajafunguka ila kaniambia tu

" hayo ndio maisha Pacbig"

Nimeumia sana sijajua hata cha kufanya ila I think this is going to be the end of our brotherhood between me and my brother, I hate him more than I hate a devil.
Acha piga kimya kama hamna kinachoendelea ila hakikisha gonga kila mwanamke atakaekua nae kakaa Ako kivyovyote vile hata kwa dawa
 
Mkuu

Kuna mambo kwenye Maisha uwe mwepesi kuelewa!

Kwamba Mungu ananiepusha na mabaya na kakuonyesha dhahiri shahir!

Sasa we unataka ugombane na kaka kisa demu!

Hilo ni tatizo KUBWA MNO,we kausha na kata mawasiliano kabisa block futa namba kabisaaaa!!
 
Back
Top Bottom