Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

Mpenzi wangu ana mahusiano na kaka yangu wa damu

kwangu mimi silent killer nisingeongea chochote ningempiga chini kimyakimya na hakuna hata ukinidadisi sikwambii chochote.
 
Cha kufanya wewe ndo uanze kumpiga chini na usimpe sababu. Ukipigwa chini wewe utaumia zaidi
Demi Mambo!! mbona mie nilikuwa nawapa mtu na kaka yaeke kwa zamu?? na wala hakukuwa na shidaaa?? ila dogo alinikosha sana!! nakumbuka siuk moja ivi..ngoja simu inaita.......
 
Demi Mambo!! mbona mie nilikuwa nawapa mtu na kaka yaeke kwa zamu?? na wala hakukuwa na shidaaa?? ila dogo alinikosha sana!! nakumbuka siuk moja ivi..ngoja simu inaita.......
Mambo poa.
Ni sawa tu kama ilikupendeza. Walijua unawachanganya kihivyo?
 
Kumbuka lakini nyinyi ni ndugu ila huyo mwingine ni mpita njia tu. Akili kichwani
 
Mambo poa.
Ni sawa tu kama ilikupendeza. Walijua unawachanganya kihivyo?
Yaani Best weye acha tu!! walijua fika hata wkt mwingine nalala nao woote sometimes namwambia mmoja nimechoka anakubali tu! nampa mwingine.....

na nimegundua ke wengi sana tumefanya hivi ila hawasemagi!........Lkn dogo nilichukua mazimaaa!!! ila hawa ndugu wanapendana sana tena ya munoooo!! siku akija shemeji yangu namwambiaga ivi.....
 
mkVndV wewe, huyo malaya hawezi kukuzika, kaka yako ndiyo atakuzika na kukutolea damu
 
Yaani Best weye acha tu!! walijua fika hata wkt mwingine nalala nao woote sometimes namwambia mmoja nimechoka anakubali tu! nampa mwingine.....

na nimegundua ke wengi sana tumefanya hivi ila hawasemagi!........Lkn dogo nilichukua mazimaaa!!! ila hawa ndugu wanapendana sana tena ya munoooo!! siku akija shemeji yangu namwambiaga ivi.....
Umetisha sana 😅😅😅
 
HV mnatokea wapi nyinyi wapuuzi Hadi manashare mademu na kaka zenu wa damu kaka ako anaweza vip kumfata mwnaamke unayemfata wee pia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
HV mnatokea wapi nyinyi wapuuzi Hadi manashare mademu na kaka zenu wa damu kaka ako anaweza vip kumfata mwnaamke unayemfata wee pia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha kauzibe bana sasa kumpa mtu baki na kaka mtu kipi bora best wala siyo dhambi........kibaya kumpa kaka yako wa damu!...wale ni sawa!
 
Kwann usimface umuulize direct akwambie ukweli?! Maana so far hauna ushahidi wa moja kwa moja zaidi ya picha kutoka kwa rafiki yake na pia mazungumzo ambayo haujaysikia. Waite bila wao kujua kuwa unawakutanisha kila m'moja ajue ni dharula.
 
Familia yangu ina watu wamevurugwa, ila za wengine too much aisee.
 
Kaka yako ni mbwa sana ujue Kwa akili timamu yeye kachukua namba ya demu kwenye simu yako halafu amekusagia ubaya kama wote, demu katishika na kulewa umbea.

Msizingue kaka mtu mchawi.
 
Yaani umchukie kaka wa damu sababu ya demu tu? Kwa taarifa yako hata huyo demu angeweza kukupiga na kitu kizito kupitia mtu mwingine yeyote! Na kukuongezea, kwa kuwa ndiyo kwanza umeanza, utapata demu mwingine, naye pia utachapiwa na msela flani tu, sasa utachukia watu wangapi?
Hivi mmepagawa akili au kaka Kwa akili timamu anisagie kunguni na kumpindua demu wangu halafu nisimchukie, mnaakili nyie, bila dogo kaka asingemfahamu demu
 
Hivi una akili timamu ww yaan unavunja undugu na bro kisa Malaya kweli??
baada kusoma mstali wa mwisho nimegundua u deserve that.
you're not strong enough to have her under control uko obsessed na love grow up dude
Ni dharau kubwa ambayo haivumiliki yeye kwanin aingilie mapenzi mdogo wake? Unaona yuko sawa eeh? Huyo kaka jinga kabsa.
 
Kaka yako kama ana mke mto**mbe na yeye jitahidi kwa njia yoyote hata kumlomba uyu mkewe mloge ut*omb mkewe ikiwezekana na nimba juu
 
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates iliyopitishwa na senate. Nikaambiwa niandike barua then nitaingizwa kwenye list mwaka unaofuata.

Ulipita mwaka mzima, siku chache kabla ya graduation ya mwaka uliofuata ambao ndio nilipaswa sasa nigraduate ilitoka list ya mwaka huo lakini jina langu halikuwepo. Ikanibidi niende chuoni kufuatilia.

Nilipofika chuoni na kuanza kufuatilia ndipo nilipokutana na binti huyu. Kiufupi yeye na mimi tulikuwa kwenye the same scenario na yeye hakuwemo kwenye list pia. Tulikutana kama bahati tu nikiwa kwenye kundi la watu nje ya ofisi ya head of department ambaye hakuwemo ofisini, nilishangaa binti mmoja mchangamfu ananifata moja kwa moja akiwa amenyoosha simu yake akanipatia na kuniambia

"Ongea na head of department mwambie tunamsubiri huku ofisini mimi naogopa"

Niliipokea ile simu na huo ndio ukawa mwanzo wa kujuana. Tulibadilishana mawasiliano na baadaye mahusiano yakazaliwa. Nilimpenda sana yule binti ukizingatia sikuwahi pata binti mzuri na smart kama yule maishani mwangu. Kwa bahati nzuri alipata kazi mkoa wa nyumbani kwetu ambako mimi pia ndio ninaishi. Ila yeye akawa anakaa wilayani mimi nakaa mjini. Kuna siku nikiwa kaka yangu yangu ambaye yuko likizo home huyu binti alinipigia na katika maongezi akaniuliza uko na nani nikamjibu niko na kaka yangu akasema hebu mpe simu nimsalimie sikuona shida nikampa wakaongea ila maongezi yalikuwa ya kawaida tu. Niwe muwazi hapa huyu kaka yangu huwa simpendi kihivyo kwa sababu ana tabia ya kuniongelea vibaya hivyo namheshimu tu kwa sababu ni ndugu.

Sasa juzi kuna shosti yake na huyu binti wanafanya kazi sehemu moja alinitumia picha whatsapp ambayo ni ya kaka yangu na kuniuliza kama ninamfahamu, nikamwambia huyo ni kaka yangu je picha yake umeitoa wapi? akajibu amenionyesha Frida (sio jina halisi) ambaye ndio huyo mpenzi wangu. Nilipata mashaka yeye na kaka yangu wamefahamiana vipi wakati wameongea kwa simu tu. Kiukweli mimi huwa sina tabia ya kumuamini mtu yeyote mpaka hapo nikahisi kuchapiwa. Nikawa namfatilia bro kimachale. Kuna siku bro alikuwa anaongea nje ya nyumba na simu nikamfatilia lakini katika maongezi nikabaini anaongea na huyu huyu binti. Usiku wa jana mida ya saa mbili ndio nimeona txt kwenye simu ya bro simu ikiwa lock ila ikaingia txt ya namba ya huyu binti. Txt inasema nanukuu

" Kweli bora niachane nae tu"

Nimemuuliza rafiki yake aliyenitumia picha hajafunguka ila kaniambia tu

" hayo ndio maisha Pacbig"

Nimeumia sana sijajua hata cha kufanya ila I think this is going to be the end of our brotherhood between me and my brother, I hate him more than I hate a devil.
Fanya maisha dogo...... Temana na hizo mambo
 
Huyo binti usipoteze muda mpotezee haraka sana , huyo brother mtajuana ila mimi ningeamua kutokana na ninvyojisikia kuhusu yeye, kama naona hana maana mpuuzi tuu nampotezea tuu,ndugu wengine hawana maana bora kuwa ndugu na mbwa tuu
 
Back
Top Bottom