Pole ktk maisha hii yaweza tokea .
Imewahi nitokea mie licha alikuwa binamu yangu na rafiki yangu wa karibu sana , mie ninachoamini mapenzi ni ya watu wawili tu akiingia mtu mwingine imekula kwenu.
Binti huyu nilimpata , ndani ya Ile teenager akiwa ananizidi miezi kadhaa kiumri . Basi binamu yangu alikuwa na group la marafiki ambao walipenda sana kuwaandikia mie barua za wapenzi wao , hivyo nilikuwa najua a 2 z zao lkn mm walikuwa hawanijui natua wapi
Huyu Binti nilikuwa nimeshamwambia kuwa mapenzi ni yetu tu wawili hakuna mtu mwingine zaidi yetu tukishindwana ni sisi wawili baaas.
Nimetulia zangu Sina hili Wala lile ghafla , binamu anakuja na cheko kuu sana na furaha ya ajabu nikamuuliza kulikoni daaah alahaula Binti kashanichoma , binamu ananiuliza Kwa nn sijawahi kumwambia kuwa yule bibie ni wangu, akanisifia sana . Nikasema poa
Siku zikaenda zikakatika mara tu Binti hanitaki Tena
Kama kawaida ya enzi zile nikanyang'anya ndala moja nikaenda nayo getto nikatulia najua atafuata tu zikakata ck bila kufuata ck moja akajichanganya akazifuata, nikambana vipi kabadirika sana daah Binti akafunguka akisem binamu Yako kanitongoza Sasa Mimi siwezi kuwachanganya ndugu nikaona niwaache tu wote. Nikamuuliza kosa ni la nani akadai sisi wote kumtongoza .
Nikamwambia hujui kuwa ww ni chanzo na tatizo ni wewe kumwambia jamaa ninawewe
Duh ndo ikawa mwisho wa uhusiano wetu
Sent from my Nokia C1 using
JamiiForums mobile app