Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

Hujaelewa hoja yake.
She is extravagant na hana uwezo wa kumudu hayo maisha hivyo jamaa ameona afanye sensa ya ndani akapata input = output. Akafanya maamuzi.
Nimeielewa vizuri hoja yake. Shida ni kwamba hawa wawili priority zao ni tafauti, mmoja kwenye appearance (kivazi, n k) na mwingine ni hali ya maisha kwa ujumla.

Unadhania kila mwanamke anawaza kupika na issue za nyumbani tu?
 
Imagine kila mkanda kautumikia,kila pair ya kiatu kaitumikia, kila wigi kalitumikia na kila handbag kaitumikia halafu vuta picha huko Stanford bridge kukoje
 
Huyo ndio wale wakusema Dar chakwanza kupendeza kula tutakula hata nyasi.ova
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mmoja nilimuacha baada ya kutaka anunuliwe kiatu cha 16 wakati mtafutaji Nina viwili kimoja kimechanika nikamwambia subiri me enyewe Sina viatu week hii nataka nunua changu kimoja akakataa kmkkke nikapiga ya mwsho nikamuacha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu alikuwa anapata zero Hadi kwenye sanaaa,!
Unakuta sahizi kavalisha kichwa wingi la laki mbili na nusu!
Haya sio matumizi mabaya ya fedha kweli,!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Now days bhana,,Yani mwanaume inakupasa kutafuta mwanamke utaeweza kutatua shida zake ndo penzi liendelee ni kama mafuta tu yakikata ndo basi[emoji1787]

#Namuwaza mjukuu wangu wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…