bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Nimeielewa vizuri hoja yake. Shida ni kwamba hawa wawili priority zao ni tafauti, mmoja kwenye appearance (kivazi, n k) na mwingine ni hali ya maisha kwa ujumla.Hujaelewa hoja yake.
She is extravagant na hana uwezo wa kumudu hayo maisha hivyo jamaa ameona afanye sensa ya ndani akapata input = output. Akafanya maamuzi.
Unadhania kila mwanamke anawaza kupika na issue za nyumbani tu?