Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

Mleta mada ana pepo la umaskini mwanamke kuwa na vyote hivyo mbona kawaida tu

Furaha ya mwanamke ikomkwenye kutoka anaonekaje huko nje ndio maana huwa.na mavazi kibao

Pepo la mavazi lina unafuu kuliko.pepo la ulofa
Hiyo siyo furaha bali immaturity. Mwanamke mwenye kujielewa ushindwe kujitimizia basic needs ili ufurahishe watu nje. Hiyo ndoa na familia itaangamia, kama ukijifanya unataka ujione bingwa kwa mwanamke ambaye yupo tayari kukaa njaa ili afurahishe watu baki. Siataua familia, hivi mwanaume hivi vyote nabado ujipeleke kisa wataka matawi ya juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Acha niwe na mtu na akili lakini sio mshamba wa dunia kisa apate validation.
 
Kula pepsi nalipa mimi,only kegends will understand this
 
Nampangoo huo hata mimi nirudie kama zamani maana kwa yeye alikuwa hanishindi kwakuvaa i swear kuwa mremboo ni mashallah unawaweka wanadamu kiganjani mwako sio kibishara , kimapenzi na pia kimtazamo.
Urembo ni raha nikujiamini na kujipenda
 
Wacha wee,huku friji ikigeuka tank na gas imekata
 
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Eti friji Kama simtank, mkuu umeua!!
 
Back
Top Bottom