Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.

Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu

Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Hakikisha makarani wa Sensa wanachukua hizo takwimu bila kukosa
 
Hahahahah kuna mademu wanathamini kuvaa kuliko kula. Yuko radhi ashinde njaa ila kila jumamosi aende shopping kariakoo.

Wanawake wengi wanapenda ku shop. Yani kila wakati tamaa iko 98% kisikatize kitu mbele yake ndio maana rahisi sana kumtmba demu kama utamnunulia zawadi. Au kumpa access ya ku shop kila wakati.
 
Umasikini shida sana. Sasa hivyo viatu na vifaa vyake vyengine ndiyo vimekuweka roho juu hivyo!
Hujaelewa hoja yake.
She is extravagant na hana uwezo wa kumudu hayo maisha hivyo jamaa ameona afanye sensa ya ndani akapata input = output. Akafanya maamuzi.
 
Reutenant latric unproven relationship as usual..

One Man down.
Cc@@Liverpol VPN
&
@to yeye
Report to base
You failed military analysis
The man is not down
All unity stand down
I repeat stand down
 
Huo muda wa kuhesabu vyote hivyo uliutoa wapi? Kweli waTz wengi ni majobless.
 
Hahahahah kuna mademu wanathamini kuvaa kuliko kula. Yuko radhi ashinde njaa ila kila jumamosi aende shopping kariakoo.

Wanawake wengi wanapenda ku shop. Yani kila wakati tamaa iko 98% kisikatize kitu mbele yake ndio maana rahisi sana kumtmba demu kama utamnunulia zawadi. Au kumpa access ya ku shop kila wakati.
Kabisa huwa ni kama watoto kwenye hiyo sekta
 
Mleta mada ana pepo la umaskini mwanamke kuwa na vyote hivyo mbona kawaida tu

Furaha ya mwanamke ikomkwenye kutoka anaonekaje huko nje ndio maana huwa.na mavazi kibao

Pepo la mavazi lina unafuu kuliko.pepo la ulofa
"Furaha ya mwanamke iko kwenye kutoka anaonekanaje huko nje"!

Kweli wanawake ni viumbe wa ajabu.
 
Back
Top Bottom