Labda unamtishaHabari wana Jamvi,
Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.
Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.
ana jini mahaba linamuonea wivu halitaki umkule 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Habari wana Jamvi,
Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.
Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.
Au unamtenda vibayaHapana mie na yeye tulianza kuwa marafiki hata kabla ya mahusiano..so ni washikaji saaana mbali na mapenzi
Itakuwa Kuna shida nyengine jaribu kwenda hospital kwanza. Wewe na huyo demuHabari wana Jamvi,
Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.
Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.
Sidhani, maana muda mwingine ni yeye huwa ananitafuta pasi na mie kumuomba, afu kuhusu mahusiano sijui maana wanawake hawana dhamana ila nina uhakika kwa 80% hakuna mwanaume mwingine kwasasa.Kwa maoni yangu Kuna mambo mawili;
Moja huenda amejawa hofu Kila akiwa na miadi ya kuonana nawe, hii huwatokea baadhi ya Wanawake wenye woga wa dudu
Pili huenda huyo Mpenzi wako, yupo kwenye mahusiano na Mwanaume wake mwingine ambaye Kuna uwezekano amefungwa kutokuchepuka.
Yaani Kila alitaka kuchepuka na wewe Mpenzi wake mpya ama Mwanaume mwingine, basi ablidi hadi ashindwe kukutana na Mwanaume.
Kwani umemkuta bikra huyo Chifu?Sidhani, maana muda mwingine ni yeye huwa ananitafuta pasi na mie kumuomba, afu kuhusu mahusiano sijui maana wanawake hawana dhamana ila nina uhakika kwa 80% hakuna mwanaume mwingine kwasasa.
Ninalo jibu, alikuwa na ex wake sema huyo mchizi now yupo Kilimanjaro na aliisha oa maana tumesoma wote chuo kimoja, Mimi, mwanamke na ex wake...afu waliachana kipindi kirefu ndio akaja kwangu.Kwani umemkuta bikra huyo Chifu?
Muulize tangu aachane na X wake umepita muda gani?
MchunguzeHabari wana Jamvi,