Mpenzi wangu anaingia kwenye siku zake (hedhi) tukikutana

Mpenzi wangu anaingia kwenye siku zake (hedhi) tukikutana

Nendeni hospital haraka hiyo siyo menstrual blood.
Ni shida ya afya, huenda ana maambukizi, anapata michubuko wakati wa tendo au Endometriosis, cervical cancer, au shida nyingine yeyote.
Amuone gynecologist.
Asante sana mkuu, haya mawazo ndio nilikuwa nayataka
 
Habari wana Jamvi,

Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.

Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.
Angalia usije ukawa unawekewa pedi yenye tomato sauce😂 long distance relationship zina changamoto zake!
 
Habari wana Jamvi,

Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.

Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.
Angelia usije ukawa unawekewa pedi yenye tomato sauce😂 long distance relationship zina changamoto zake!
 
Ninalo jibu, alikuwa na ex wake sema huyo mchizi now yupo Kilimanjaro na aliisha oa maana tumesoma wote chuo kimoja, Mimi, mwanamke na ex wake...afu waliachana kipindi kirefu ndio akaja kwangu.
Hainaga makombo
 
Huyo tatizo lake ni dogo sana. Mimi ni daktari mzuri sana wa hayo mambo

Nipe namba yake, tatizo litaisha haraka
 
Kamuone dr yawezekana ni early signs za cervical cancer lakini yawezekana anatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango
 
anacheza na akili yako
Kivipi wakati muda mwingine ni mie ndio namshtua kuwa mbona kama nachafuka! Tukitizama tunakuta yuko na blood za kutosha tu.
Kuna siku alidirki kuniambia wewe endelea tu mie nishachoka nahii hali.
 
Kamuone dr yawezekana ni early signs za cervical cancer lakini yawezekana anatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango
Labda kwa hilo tatizo la cervical cancer, ila kuhusu njia za uzazi ningejua maana ukiacha mbali na uhusiano wa kimapenzi ni mshikaji wangu saaaana. Ni ngumu hata kujua kama tuna date jinsi tunavyotaniana.
 
Atakuwa anatumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango
Nimejibu huko chini kuwa ingekuwa ni njia za uzazi wa mpango ningejua..afu ni mtu anayetaka tuzae leo kesho mie ndio namchelewesha.
 
Huyo tatizo lake ni dogo sana. Mimi ni daktari mzuri sana wa hayo mambo

Nipe namba yake, tatizo litaisha haraka
Si useme hapa shida yaweza ikawa ni nini ili iwe faida kwa wengine.
 
Angelia usije ukawa unawekewa pedi yenye tomato sauce😂 long distance relationship zina changamoto zake!
🤣🤣ndugu mshana sijui niwaeleze vipi kuhusu uhusiano wetu, huko hayupo kabisaa...yani sie imekosekana ndoa tu.
 
Habari wana Jamvi,

Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.

Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.
Mkuu hio ishanipata kwa moja ya mtu Wang .ila ikaja gundulika alifungwa hivo ili asizini na mtu
Maana alipo olewa tuh akapona
 
Back
Top Bottom