Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jini mahaba ni jini linalomliki mtu kama mume au mke, so akiwa nalo haliruhusu mwanaume/mwanamke yeyote ashiriki nae tendo la ndoa. so kama nyie ni Wakristo, fanyeni maombi na kama ni waaislamu mfanye dua mambo yataenda poa.😢 Kwahiyo huyo Jin anafanya hivyo ili kitokee nini? Fananua sijakupata
Mpeleke hospitali, atakuwa na tatizo la hormoneNinalo jibu, alikuwa na ex wake sema huyo mchizi now yupo Kilimanjaro na aliisha oa maana tumesoma wote chuo kimoja, Mimi, mwanamke na ex wake...afu waliachana kipindi kirefu ndio akaja kwangu.
Sawa nashukuru nimekuelewaJini mahaba ni jini linalomliki mtu kama mume au mke, so akiwa nalo haliruhusu mwanaume/mwanamke yeyote ashiriki nae tendo la ndoa. so kama nyie ni Wakristo, fanyeni maombi na kama ni waaislamu mfanye dua mambo yataenda poa.
Duhana jini mahaba linamuonea wivu halitaki umkule 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Dada bwana asifiweana jini mahaba linamuonea wivu halitaki umkule 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Baaaaaaaaaaasi..uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.
Hujafafanua Vizuri....!Habari wana Jamvi,
Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.
Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni wa long distance japo si sana.