Eem chunguza huenda ni urogi huo.
Mm kuna kisa ki1 nlikisikia kutoka kwa kakaangu wa hiari ambaye tuna fahamiana kupitia kazi.
Huyu kaka alikuwa ana mke m1 baada ya muda akaongeza wapili, sasa baada ya kaka kuongeza huyo mke wa pili kukawa na zamu kati mke mkubwa na mdogo, huku cku 3 na kule cku 3 ivo ivo.
Umbali kutoka nyumba kubwa kwenda nyumba ndogo dkk 30, kasi 60-70 kwa PKPK ila huyu kaka alikuwa anakwenda kwa baiskeli.
Sasa mke mdogo alifanya urogi kwenda kwa mke mkubwa ili atakapokuwa na mume mechi isipigwe, kweli icho kitu kilimtokea yule mke mkubwa kila ikiwa zamu yake mume kuja kwake.
Mke mkubwa alikuwa anapatwa na hedhi muda wote ambao mume yupo kwake ila zamu ikiisha iyo hali inaondoka, mume mwanzo hakuhisi kitu ala baadaye akahisi kitu maana ilikuwa si kawaida kuona vile kwa mke wake.
Akaenda kukagua kwa mtaalamu kisha akajua ukweli kuwa nyumba ndogo ndo 7bu. Mwisho
Mkuu… ckushauri uende kwa MGANGA ila huenda huyo mpenzi wako kuna namna ambayo amefanyiwa mpaka hayo yatokee.