Mpenzi wangu anaingia kwenye siku zake (hedhi) tukikutana

Hiyo ni dalili ya kansa ya kizazi. Kama ni mkeo mpeleke hospital kubwa haraka. Kama sio mkeo acha uzinifu
 
😒 Kwahiyo huyo Jin anafanya hivyo ili kitokee nini? Fananua sijakupata
Jini mahaba ni jini linalomliki mtu kama mume au mke, so akiwa nalo haliruhusu mwanaume/mwanamke yeyote ashiriki nae tendo la ndoa. so kama nyie ni Wakristo, fanyeni maombi na kama ni waaislamu mfanye dua mambo yataenda poa.
 
Ninalo jibu, alikuwa na ex wake sema huyo mchizi now yupo Kilimanjaro na aliisha oa maana tumesoma wote chuo kimoja, Mimi, mwanamke na ex wake...afu waliachana kipindi kirefu ndio akaja kwangu.
Mpeleke hospitali, atakuwa na tatizo la hormone
 
Jini mahaba ni jini linalomliki mtu kama mume au mke, so akiwa nalo haliruhusu mwanaume/mwanamke yeyote ashiriki nae tendo la ndoa. so kama nyie ni Wakristo, fanyeni maombi na kama ni waaislamu mfanye dua mambo yataenda poa.
Sawa nashukuru nimekuelewa
 
Hujafafanua Vizuri....!

Ni kwamba ukitaka kumuingilia tu ndo anaanza kuingia kwenye Siku zake...!?
Ama ukishamwingilia ndo anaingia kwenye Siku zake...!?
 
Nendeni hospital haraka hiyo siyo menstrual blood.
Ni shida ya afya, huenda ana maambukizi, anapata michubuko wakati wa tendo au Endometriosis, cervical cancer, au shida nyingine yeyote.
Amuone gynecologist.
 
Hujafafanua Vizuri....!

Ni kwamba ukitaka kumuingilia tu ndo anaanza kuingia kwenye Siku zake...!?
Ama ukishamwingilia ndo anaingia kwenye Siku zake...!?
Nikiisha muingilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…