Mpenzi wangu analalamika simtafuti

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe.

Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana amekuwa hivi, nikaamua kuachana naye lakini akagoma kuachana tena akasema wala hamna anayempigia simu iwe mchana au usiku ila anajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu yeye.

Sasa nimeshindwa kujua anataka nini maana nimemwambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina muda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hataki hiyo option ya kuachana anasema anataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau?
 
Sema tu kuwa humpendi mwenzako.
Ukweli ni kwamba hauna upendo kwake.
 
Inamaanisha keshapata mtu anaetamtafuta kila muda, kukuuliza kwake ni kulinganisha ubora baina yenu mabwana zake.

Mara nyingi mademu unaohisi huwapendi lakini upo nao huwa ndio unawapenda kidhati hivyo ningekushauri uanze kuandaa uzi wa kuomba ushauri jinsi ya kumrudisha demu aliekuacha maana ni swala la muda tu unapigwa kibuti.
 
Kuna baadhi ya wanaume tunapenda space sio kila muda hey hey
 
Sure, tatizo hawaelewi, ninae mmoja namkubali sana, nikiona simu yake najua ana upwiru nahitajika uwanjani. La ana shida na pesa. kwa mwezi tunaongea haizidi mara 4 na namkubali sana kwa staili hiyo tu.
Sio hawaelewi, sema haelewi. Kila mwanamke ana love language yake.

Ninyi hamuendani, Kwahiyo subirini hilo penzi life kifo cha mende.

And kwanini unamrefer huyo dada kama “ka”, ni mdogo au dharau zako tu na kujiinua.
 
Una miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…