Mpenzi wangu analalamika simtafuti

Mpenzi wangu analalamika simtafuti

Sure, tatizo hawaelewi, ninae mmoja namkubali sana, nikiona simu yake najua ana upwiru nahitajika uwanjani. La ana shida na pesa. kwa mwezi tunaongea haizidi mara 4 na namkubali sana kwa staili hiyo tu.

Humpendi tu huyo mdada… ndio maana mkipigwa kitu kizito mimi nafurahi nyoko wewe
 
Ukweli ni kwamba wanaume ndio wanawahitaji wanawake zaidi sema ni vile tu toka enzi za mababu, wanaume wamekuwa wakitumia self serving reverse psychology trick, kuwafanya wanawake waone kama wao ndio wanaowahitaji wanaume zaidi ila huo si uhalisia

Kusema kwamba mwanamke hana kingine cha kuoffer zaidi ya papuchi, ni sawa na kusema mawingu hayana kingine cha kuoffer zaidi ya mvua (wote tunajua dunia ikikosa mvua itakuwaje), cha kuoffer kinaweza kuwa kimoja lakini ndio cha muhimu kuliko chochote kile

Isitoshe ninyi wenyewe wanaume huwa mnakiri kwamba sex ndio kila kitu kwenu, mkiikosa mnachanganyikiwa kabisa sasa huoni kama mwanamke kuoffer hiyo hiyo sex tu, bado ni jambo kubwa na la muhimu kwa sababu bado hamna mbadala wake

Na ukisema kwamba kwenu cha muhimu ni pesa na mali, nitakuuliza mbona huwa mko tayari kuhonga pesa au mali zozote zilizo ndani ya uwezo wenu kwa ajili ya sex bila kujali mmezitafuta kwa jasho au la, tena wengi husema wanatafuta pesa ili waweze kumiliki wanawake wengi wazuri

By the way wanawake wana vingi sana vya kuoffer ukitoa sex ila ni vile hamuishi nao tu vizuri, ndio maana nao wanaona hamstahili kupata vingine zaidi ya hiyo hiyo sex tu, anyway vipi na wanawake nao wakiamua kusema wanaume hawana kingine cha kuoffer zaidi ya pesa
Kwetu wanawake ni chombo cha starehe ndio maana wengine hawaoni hasara kuigharamikia kumá akishatafuna anapiga chini

We always treat women like bitches ni kumega na kudump 🚮🚮🚮
 
Kwetu wanawake ni chombo cha starehe ndio maana wengine hawaoni hasara kuigharamikia kumá akishatafuna anapiga chini

We always treat women like bitches ni kumega na kudump [emoji706][emoji706][emoji706]
Sasa kama mnawatreat kama bitches why do you expect them to offer more than sex, mimi nilitegemea kwamba hamtalalamika wao kuoffer sex tu kwa sababu ndicho kitu pekee mnachofuata kwao, lakini kila siku mnalialia oo wanawake hivi wanawake vile

By the way hilo la kuwatreat kama bitches ni kauli zenu za kujifariji tu wanawake wa siku hizi they dont care as long as wanapata wanachotaka, na mwisho wa siku wanapata wa kuwaoa maisha yanaendelea tunaona kila siku ndoa zinafungwa na wengine wanaoolewa ni makahaba wastaafu, that means you treat women like bitches ila mwisho wa siku mkitaka kuoa mnarudi kwa hao hao bitches maana ndio waliopo.. pathetic!!

Msidhani wanaumia mkiwaita hayo majina mabaya maana tangu mmeanza kuwaita hivyo hakuna walichopungukiwa na ndio kwanza wanazidisha maovu, maana hata ninyi wenyewe mnaowaita hivyo mnakuta hamna umuhimu wowote kwenye jamii mko kama wao tu ila mnajifaragua kwa kuwaita bitches, unafikiri kuna mwanamke atajali washajua hizo kauli ni za ninyi kujifariji na kupunguza machungu ya kuhonga tu na wao bado wataendelea kuwachuna vile vile kisha kuwadump
 
Kaka hakuna mwanaume anaeweza kuwaelewa wanawake hawa.

Mfano na mimi nilikua na mwanamke akawa anaweza nivungie the whole day nikimtafuta mimi ndo ananijibu sometimes kiufupi ila yeye wala haangaiki nikajua kua anani-cheat tena nikamfumania basi nikamuacha ila akawa analazimisha kua bado ananipenda mimi nimsamehe tu ila baada ya kuona msimamo wangu kua tuachane ilimbidi tu tuachane kwa nguvu.

Hivyo hata wewe ukiona kama amekua miyayusho kwako force kuachana yaani ukiwa serious ndo utajua side b yake kua kuachana haoni noma ila anakutega tu.
Sasa mbona tatizo analolalamikia demu wa mtoa mada ndilo hilo ulilolalamikia wewe lakini cha ajabu unawakandia wanawake tena, wewe hukupenda kitendo cha mwanamke wako kutokukutafuta kila siku na ndio tabia ya mtoa mada ambayo inafanya demu wake amlalamikie, kwahiyo akilalamika mwanaume ni sawa ila akilalamika mwanamke ni kosa siyo
 
kila siku ndoa zinafungwa wengine wanaoolewa ni makahaba wastaafu, that means you treat women like bitches ila mwisho wa siku mkitaka kuoa mnarudi kwa hao hao bitches maana ndio waliopo.. pathetic!!
Ndio maana hata haada ya ndoa bado tunaendeleza harakati za kuchakata pisi kali kuliko wake zetu nje

Wives are just like bitches at home huku tukiendelea kuchakata bitches wengine kama side chicks

Tungekuwa tunawaheshimu tusingewatafutia michepuko kwa hiyo bado tunawaona low value women/wives

Na usishangae mchepuko ukawa unahudumiwa vizuri kuliko mke, wewe ni kuzalishwa na kufanya kazi za nyumbani

Kauli mbiu ni ileile wanawake kwetu ni chombo cha starehe tu
 
unafikiri kuna mwanamke atajali washajua hizo kauli ni za ninyi kujifariji na kupunguza machungu ya kuhonga tu na wao bado wataendelea kuwachuna vile vile kisha kuwadump
Ndio maana mkishagonga miaka 30+ na kuwa single maza mnaanza kuhaha kutafuta wanaume wa kufanya nao maisha baada ya kukahaabika mkidhani mnawakomoa wanaume

Pussy imeshaenda mileages, mvuto hamna na mmeshakuwa broke. Route za kwenda kwa waganga na Kawe kwa Mwamposa zinakuwa nyingi kufanyiwa maombi ya kuolewa

Young lady, the man you're going to open your legs for is the same man who's going to disrespect you tomorrow for being cheap

The more reason you should treat ur body with utmost value
 
Sema tu huna mpenzi sasahivi upo single omba Mungu upate ndio utajua kupigiana simu just automatic thing kwenye penzi la kweli
Mbona ninae mkuu, tena penzi jipya kabisa☺️☺️.. Sema tu ndo hivyo tumekutana wote tuko busy,, ila nikikuta text zake najibu nae akikuta text zangu anajibu, usiku tunaongea mda mrefu ila sio kila mda mnachat tu na kupigiana simu.. Hamna kazi za kufanya??
 
Hapo kuna mawili broo move on faster.

1: Manzi kapata mwanaume mwingine hivyo anakucompare na mwanaume mwezako

2: Manzi anakutafutia sababu akupige chini na ukijaa utahesabika wewe ndiye mbaya.

Nb: kikubwa simamia kwenye uhalisia wako na ndiyo pona yako
 
Back
Top Bottom