Mpenzi wangu analalamika simtafuti

Das

Daah mapenzi ya kitoto bana,yanashangaza sana
 
Mwanamke ndiye anamhitaji mwanamume zaidi kuliko sisi tunavyowahitaji wao

Kwa sababu kwenye mahusiano mwanamke ndiye anafaidika zaidi sisi tunahitaji uchi tu

Sasa ya nini uumshobokee? Mwache akutafute yeye hawezi abort the mission next her

Kama ni K zipo kibao zinasubiri tu watombaji
 
 
gharama za kummpotezea muda akupendae kwa maringo namna hiyo, hua ni za juu sana na huwa zinatafuna watu mithili ya laana, mpaka uliempotezea muda wake anyamaze kukulaumu ndio zinapungua....

ni usawa wa ukweli na uwazi, ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu mwambie ukweli sio kimpakazia...JIDE enzi izo....
 
Ukweli ni kwamba wanaume ndio wanawahitaji wanawake zaidi sema ni vile tu toka enzi za mababu, wanaume wamekuwa wakitumia self serving reverse psychology trick, kuwafanya wanawake waone kama wao ndio wanaowahitaji wanaume zaidi ila huo si uhalisia

Kusema kwamba mwanamke hana kingine cha kuoffer zaidi ya papuchi, ni sawa na kusema mawingu hayana kingine cha kuoffer zaidi ya mvua (wote tunajua dunia ikikosa mvua itakuwaje), cha kuoffer kinaweza kuwa kimoja lakini ndio cha muhimu kuliko chochote kile

Isitoshe ninyi wenyewe wanaume huwa mnakiri kwamba sex ndio kila kitu kwenu, mkiikosa mnachanganyikiwa kabisa sasa huoni kama mwanamke kuoffer hiyo hiyo sex tu, bado ni jambo kubwa na la muhimu kwa sababu bado hamna mbadala wake

Na ukisema kwamba kwenu cha muhimu ni pesa na mali, nitakuuliza mbona huwa mko tayari kuhonga pesa au mali zozote zilizo ndani ya uwezo wenu kwa ajili ya sex bila kujali mmezitafuta kwa jasho au la, tena wengi husema wanatafuta pesa ili waweze kumiliki wanawake wengi wazuri

By the way wanawake wana vingi sana vya kuoffer ukitoa sex ila ni vile hamuishi nao tu vizuri, ndio maana nao wanaona hamstahili kupata vingine zaidi ya hiyo hiyo sex tu, anyway vipi na wanawake nao wakiamua kusema wanaume hawana kingine cha kuoffer zaidi ya pesa
 
Kaka hakuna mwanaume anaeweza kuwaelewa wanawake hawa.

Mfano na mimi nilikua na mwanamke akawa anaweza nivungie the whole day nikimtafuta mimi ndo ananijibu sometimes kiufupi ila yeye wala haangaiki nikajua kua anani-cheat tena nikamfumania basi nikamuacha ila akawa analazimisha kua bado ananipenda mimi nimsamehe tu ila baada ya kuona msimamo wangu kua tuachane ilimbidi tu tuachane kwa nguvu.

Hivyo hata wewe ukiona kama amekua miyayusho kwako force kuachana yaani ukiwa serious ndo utajua side b yake kua kuachana haoni noma ila anakutega tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…